NI PISHI GANI LA KICHAGGA UNALIKUBALI ZAIDI? Kuzaliwa Mchagga Raha Bhana, Au Vipi? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
Month: May 2021
KIKULETWA HOTSPRING, CHEMCHEMI YA MAJI MOTO.
Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
ITOSHO – SUFURIA ASILI ZA KICHAGGA
Wanaita Itosho! Wangapi Bado Tunatumia Hizi Sufuria Za Kichagga Kupikia? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
THE LAND OF KILIMANJARO, THE SACRED LAND OF THE CHAGGA PEOPLE
Land Where Our Fathers Died, Land Of Pilgrimage Pride. Ardhi Waliyoipigania Babu Zetu, Ardhi Ya Kujivunia. Hii Picha Imepigwa Kutokea Upande Upi? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
“MTURA” WA MOSHI
Ubunifu Wa Utengenezaji Nyama Unaokuja Kwa Kasi Sana Hapa Moshi Aisee, Hii Kitu Weka Mbali Na Watoto – Ukijaribu Utarudi Tena Na Tena Big Up Sana Kwa Watu Wa Moshi Dar Na Arusha Mtura Unapatikana Maeneo Gani? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
NDAFU YA KICHAGGA – NCHINI KENYA
Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
CASTOR OIL MAFUTA YA CASTOR (UNAZIKUMBUKA NJAMA NJAMA?)
Najua Wengi Hawajui Kwamba Njama Njama Ndizo Zinazotengeneza Mafuta Ya Castor, “Castor Oil”. Zilioteshwa Moshi Kwa Wingi Kuanzia Zamani Sana, Kwenye Miaka Ya 1920’s. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU)
Ndio Chama Cha Ushirika Kikongwe Zaidi Barani Africa Kikiwa Kimeanzishwa 1930. Watu Kutoka Maeneo Mbalimbali Afrika Walikuwa Wanakuja Moshi Kujifunza Namna Ya Kuendesha Vyama Vya Ushirika Kimafanikio. Hata Hivyo Baada Ya Tanganyika Kuwa Nchi Na KNCU Kuingiliwa Sana Na Wanasiasa Sambamba Na Mfumo Mbovu Wa Kisiasa KNCU Kilidhoofika Sana Wakati Vyama Vilivyokuja Kujifunza Ushirika Kupitia …
THE WONDERFUL KILIMANJARO
Jarida La “USA TODAY” La Nchini Marekani, Linautaja “MLIMA KILIMANJARO” Katika Orodha Ya Maeneo 100 Ya Asili Yanayovutia Zaidi Duniani. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
HISTORIA YA LYAMUNGO SEKONDARI
Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com