UFANANO WA MAJINA YA MAENEO YA UCHAGGANI.

Watu Wengi Wamekuwa Wakishangaa Kwamba Kuna Maeneo Mengi Ya Uchaggani, Kilimanjaro Yanafaanana Majina na Kushindwa Kuelewa Mara Moja Sababu Yake Nini. Japo Kweli Sababu Yake Haiko Wazi Kabisa Lakini Inajulikana Kwamba Zamani Wachagga, Kilimanjaro Walikuwa Ni Watu wa Kuhama Sehemu Moja Ya Kilimanjaro Kwenda Sehemu Nyingine Kwa Sababu Mbalimbali.Lakini Kuna Nyakati Uchaggani Kabla Ya Karne …

WACHAGGA WAHAFIDHINA vs WACHAGGA MALIBERALI.

Linapokuja suala la kutunza tamaduni siku zote watu hugawanyika katika pande kuu mbili japo wachache hubaki katikati. Kuna wale wa mrengo wa kulia ambao ndio huitwa wahafidhina(conservatives) na wale wa mrengo wa kushoto ambao huitwa *maliberali(liberals)*(huru).Hata miongoni mwetu Wachagga wapo wahafidhina ambao ndio huitwa wa mrengo wa kulia na wapo maliberali ambao huitwa wa mrengo …