BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI

Huyu Aliitwa BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI Ndiye Askofu Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania (1963 -1976).

Ndiye Mwanzilishi wa Hospitali Ya Rufaa KCMC Aliyekuwa na Maono Makubwa Juu Ya KCMC. Chuo Kikuu Cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO) Kilichopo Moshi Kimeitwa Kwa Kumbukumbu Ya Jina Lake.

Shule Ya Sekondari “Bishop Moshi” Iliyopo Mamba-Kotela Imeitwa Kwa Kumbukumbu Ya Jina Lake. Alikuwa Mtu Mashuhuri Sana, Mwenye Msimamo Na Mwenye Kuheshimiwa Sana Na Kila Mtu.

Alizaliwa Huko Mamba-Kotela Mwaka 1906, Akafariki Mwaka 1976 Na Kuzikwa Huko Kijijini Kwake Mamba-Kotela, Mashariki Ya Marangu, Wilaya Ya Moshi Vijijini.

BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI
BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *