KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
– MJI MKONGWE WA MOSHI ILIYOKUWA MOSHI HALISI KABLA YA KUHAMIA MOSHI MJINI MWAKA 1912, KISHA HUKU MLIMANI KUBADILISHWA JINA NA KUITWA OLD MOSHI.
– BOMA KUU NA MAKAO YA UTAWALA YA SERIKALI YA WAJERUMANI KASKAZINI YOTE YA TANZANIA TANGU MWISHONI MWA KARNE YA 19 MPAKA MWAKA 1918 WALIPOSHINDWA VITA YA KWANZA YA DUNIA.
– ILIYOKUWA SHULE KONGWE YA SEKONDARI OLD MOSHI KABLA YA KUHAMISHIWA MOSHI MJINI 1960’s, KISHA HUKU JUU KUITWA SEKONDARI YA KOLILA.
– ILIYOKUWA MAHAKAMA YA MOSHI KABLA YA KUHAMIA MOSHI MJINI.
– SANAMU YA KUMBUKUMBU YA MANGI MELI MANDARA.
– MTI WALIONYONGEWA WAMANGI WA KILIMANJARO MWAKA 1900 KWA TUHUMA ZA KUSUKA NJAMA ZA KUIONDOSHA SERIKALI YA WAJERUMANI KASKAZINI WAKIONGOZWA NA MANGI MELI MANDARA.
– OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI.
– MAKUMBUSHO YA KUMBUKUMBU YA MANGI MELI MANDARA, OLD MOSHI.
-KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI
USHARIKA WA KISAMO, OLD MOSHI.
Urithi Wetu Wachagga
urithiwetuwachagga@gmail.com
Need No Comments.
I am a Chagga Woman .
Get it!
Born MARANGU,
Get it !