MJI WA KAMWANGA.
– HUU NI MJI ULIOPO UPANDE WA NYUMA WA MLIMA KILIMANJARO.
– UPANDE WA KASKAZINI YA KILIMANJARO.
– UPO BAADA YA MSITU WA KILIMANJARO UNAPOISHIA.
– MJI HUU UPO MPAKANI KATI YA WILAYA YA ROMBO MKOA WA KILIMANJARO NA WILAYA YA LONGIDO MKOA WA ARUSHA.
– WAKAZI WA ASILI WA MJI HUU NI WAMASAI AMBAO WAPO KWA WINGI, LAKINI PIA KUNA WASAFWA NA WACHAGGA WANAFANYA BIASHARA.
– UPANDE WA KASKAZINI ZAIDI NI KENYA.
– UKIENDELEA MBELE ZAIDI UNAZUNGUKIA SANYA JUU.
– MSITU WA KILIMANJARO UNAPOISHIA NDIO MPAKA KATI WILAYA YA ROMBO NA WILAYA YA LONGIDO.
Urithi Wetu Wachagga
urithiwetuwachagga@gmail.com
Related