Urithi Wetu Wachagga
Month: October 2022
MWIKA VUNJO KIMANGARO
Urithi Wetu Wachagga.
WENGINE WATAJISIKIAJE/WATATUCHUKULIAJE/WATATUONAJE?
– Sisi binadamu kwa asili ni viumbe wa kijamii, yaani ni viumbe ambao tuko kwenye jamii ambazo kwa namna moja au nyingine zina ushawishi fulani kwenye maamuzi yetu binafsi tunayofanya. – Asili hii ya kuwa ndani ya ushawishi wa kijamii imepelekea kwamba huwa tunatamani kila tunalofanya liwe linakubalika kwanza na kila mtu au watu fulani …
THE PEARLS OF KILIMANJARO
Urithi Wetu Wachagga.