PETRO M. NJAU (MORENJA).

Mwanafalsafa Mahiri na Mbeba Maono wa Taifa La Wachagga, Kilimanjaro. – Petro Njau alizaliwa mwaka 1890 katika kitongoji cha Fumvuhu, kijiji cha Kidia, Old Moshi. – Alikuwa ni mwanafunzi mwenye uwezo mkubwa kiakili darasani na alisoma wakati wa utawala wa wajerumani na kuelewa vizuri sana lugha ya kijerumani pia ambapo alihitimisha masomo yake mwaka 1910. …

UKOO WA TEMU.

– Temu ni ukoo mkubwa sana wa wachagga uliosambaa katika vijiji vingi sana Uchaggani, Kilimanjaro hususan kuanzia eneo la katikati kuelekea mashariki. Huu ni ukoo uliotoa watu wengi mashuhuri katika historia na watu wanaofanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya nchi. Temu ni ukoo unaopatikana katika vijiji …

UKOO WA KESSY.

– Kessy/Kessi/Kesi ni ukoo mashuhuri sana wa wachagga wenye historia inayokwenda karibu miaka 400 iliyopita ukiongezeka vizazi na vizazi mpaka sasa ambapo umekuwa ni ukoo mkubwa uliosambaa katika vijiji vingi sana Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Kessy wamekuwa wakifanya vizuri katika nyanja mbalimbali za kimaisha katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata …

UKOO WA MINJA.

– Minja ni ukoo mkubwa sana wa wachagga waliosambaa katika vijiji na maeneo mbalimbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Minja umetoa wachagga wengi mashuhuri katika nyanja mbalimbali kuanzia watumishi wa umma, wanasiasa, wafanyabiashara, maprofesa wa vyuo vikuu na wajasiriamali wengi sana wa ngazi mbalimbali. Ni ukoo wa wachagga wengi wenye kujituma sana na kuna ambao …

UISLAMU UCHAGGANI.

– Kupitia historia tunafahamu kwamba wachagga wa kwanza kuoandoka kwenye dini asili ya wachagga na kujiunga na dini za kigeni ilikuwa ni katika muongo wa mwisho wa karne ya 19. Hii ilikuwa ni mwaka 1892 wamisionari wa misheni ya kianglikana ya CMS ilipowabatiza wachagga wawili katika kijiji cha Mdawi, Old Moshi mwezi Julai 1892 kwa …

UKOO WA MALISA.

– Malisa ni ukoo mkongwe sana na wa wachagga mashuhuri na majasiri sana katika historia ya wachagga Kilimanjaro. Malisa ni ukoo wa watu wapambanaji na wanaoamini katika kujituma sana na kuishi katika viwango vya juu zaidi vya mafanikio. Ukoo wa Malisa ni ukoo uliotoa watu wengi wanaofanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali ndani na nje …

UKOO WA RINGO.

– Ringo au zamani ulikuwa ukiitwa pia Iringo ni ukoo mkongwe sana wa kichagga unaopatikana katika maeneo kadhaa ya vijiji vya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Ringo wengi ni wapambanaji sana wakiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya Tanzania wakifanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali. Mmoja kati ya …

UKOO WA NGOWI.

– Ngowi ni ukoo mkubwa maarufu na mashuhuri sana wa wachagga uliosambaa katika vijiji vingi sana na katika maeneo mengi sana ya Uchagga, Kilimanjaro. Kuna wachagga wengi sana wa ukoo wa Ngowi ambao wanafanya vizuri sana katika maeneo mbalimbali ya kimaisha ndani na nje ya Kilimanjaro, nje ya Tanzania na Afrika mashariki. – Kutoka kwenye …

UKOO WA CHUWA.

– Chuwa ni ukoo maarufu wa wachagga ambao na wenye idadi kubwa kiasi ya watu ukiwa na watu mbalimbali waliosambaa maeneo mengi ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya Tanzania. Wachagga wa ukoo wa Chuwa wengi ni watu wenye kujituma sana na wakiwa na wafanyabiashara wengi wanaofanya vizuri ndani na nje ya Kilimanjaro …