UKOO WA KIRIA.

– Kiria ni ukoo wa wachagga wanaopatikana zaidi maeneo ya upande wa magharibi ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wa watu wanaojulikana kuwa wajasiri sana na wenye historia ya kutoa wanajeshi hodari sana wakati wa tawala za wamangi zamani. Ukoo wa Kiria ni ukoo wenye watu wanaofanya vizuri sana katika biashara na ujasiriamali …

UKOO WA KOMBE.

– Kombe ni ukoo maarufu wa wachagga wanaopatikana kuanzia upande wa magharibi ya Kilimanjaro na wengine katikati kuelekea mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Kombe ni ukoo wenye wengi mashuhuri wanaofanya vizuri katika fani mbalimbali kama taaluma, ujasirimali, biashara, kwenye mashirika, ndani ya taasisi, serikalini na mashirika binafsi ndani na nje ya Kilimanjaro …

UKOO WA ASSEY

– Asei ni ukoo mkongwe sana wa wachagga unaopatikana kwa wingi zaidi katika maeneo ya vijiji vya himaya za Kirua Vunjo na Kilema. Kutoka kwenye historia ukoo wa Asei unaonekana kuwa chimbuko lake ni katika himaya ya umangi Kirua Vunjo. – Kutoka katika historia ya utawala wa umangi Kirua Vunjo Asei anaonekana kuwa ni kizazi …

NAMNA YA KUGUNDUA UTAPELI KATIKA UWEKEZAJI.

– Moja kati ya watu matapeli waliowahi kujipatia umaarufu mkubwa sana duniani aliitwa Victor Lustig. Huyu Bwana Lustig alikuwa ni tapeli mwerevu kiasi kwamba aliwahi kuuza mnara maarufu wa jijini Paris, Ufaransa unaojulikana kama “Eiffel Tower” mara mbili. Siku moja aliwahi kuulizwa kwa nini anafanikiwa kutapeli watu mara nyingi na kirahisi bila kugundulika, na jibu …