UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 1

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* (Usisahau Ku-share). Uchambuzi by Mary Assenga. Mangi Petro Itosi Marealle Alikuwa Mangi Mwitori Wa Vunjo, Uchagga. Baba Yake Alikuwa Ni Mangi Ndegoruo Kilamia “Marealle”, Aliyekuwa Mangi Wa Marangu Ambaye Alikuwa Mtoto Wa Mangi Ndaalio Mjukuu wa Mangi Itosi. Mangi Petro Itosi Marealle Aliyekuwa …

UKOO WA KIMEI.

– Kimei ni ukoo wa wachagga wanaopatikana kwa wingi zaidi katika lote la mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Kimei ni ukoo wenye watu makini na wanaofanya vizuri katika maeneo na tasnia mbalimbali tangu zamani sana mpaka sasa. Huu ni ukoo wenye watu wanaopenda kujituma sana na hivyo kupata matokeo makubwa katika yale …

UKOO WA KAALE.

– Kaale ni ukoo wa wachagga wanaopatikana katika maeneo ya mwishoni mwa ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Kaale sio ukoo mkubwa wala unaopatikana maeneo mengi lakini ni ukoo wa watu makini wanaofanya vizuri sana kitaaluma na kwenye biashara na ujasiriamali. – Wako wachagga wengi wa ukoo wa Kaale wanaofanya vizuri …

UKOO WA NYANGE.

Nyange ni ukoo wa kichagga unaopatikana kwa wingi katika ukanda wa maeneo ya magharibi ya kati, mashariki ya karibu, mashariki ya kati na mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wenye historia kubwa sana na ya kipekee katika nchi ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Nyange ni ukoo wenye watu wengi mashuhuri na wanaofanya …

UKOO WA LYARUU.

– Lyaruu ni ukoo wa kichagga unaopatikana kwa kiasi katika vijiji vichache vya maeneo ya ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Lyaruu ni ukoo mdogo lakini wenye watu wengi makini wanaofanya vizuri katika tasnia mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya nchi kuanzia kwenye taaluma, biashara na ujasiriamali. …

UKOO WA RIMOY.

– Rimoy ni ukoo wa wachagga wanaopatikana kwa wingi zaidi katika eneo la himaya ya umangi Kilema. Huu ni ukoo ambao sio mkubwa sana wala maarufu sana lakini ni ukoo wa watu mashuhuri wanaofanya vizuri sana kwenye masuala ya biashara na ujasiriamali. Ukoo wa Rimoy ni ukoo wa watu wenye kujiamini na wengi wenye hadhi …

UKOO WA UISSO/OISSO/WOISSO

– Uisso ni ukoo mkubwa wa kichagga unaopatikana kwa wingi katika maeneo ya ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro na kwa wingi zaidi katika eneo la ukanda wa mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wa watu wajasiri na wenye kujiamini sana katika mapambano ya aina yoyote ile. Ukoo wa Uisso/Oisso/Woisso …