– Ukoo wa Makundi ni ukoo mashuhuri sana katika historia ya wachagga Kilimanjaro na wenye sifa ya kipekee sana. Wachagga wa ukoo wa Makundi wamekuwa ni watu wapambanaji siku zote na waliojiwekea viwango vya juu sana katika mengi wanayofanya. Hawa wamekuwa ni watu wanaoamini katika juhudi, umoja na mshikamano kitu ambacho wameweza kuambukiza hata kwa …
Year: 2024
UKOO WA KOKA.
– Koka ni ukoo wa wachagga wanaopatikana katika eneo la katikati ya ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Koka sio mkubwa sana lakini ni ukoo wenye wasomi wengi na wajasiriamali wakubwa na hata vijiji wanavyotokea kwa sehemu kubwa vimepiga hatua kubwa kimaendeleo. – Ukoo wa Koka ni sehemu ya koo ambazo …
UKOO WA MCHAKI/CHAKI.
– Mchaki/Chaki ni ukoo wa wachagga unaopatikana katika maeneo ya vijiji mbalimbali vya Uchagga, Kilimanjaro kuanzia ukanda wa katikati kuelekea ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Mchaki/Chaki kwa ujumla ni watu makini na kuna wengi ambao wanafanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali kuanzia ufundi, kitaaluma, biashara na ujasiriamali na …
UKOO WA MATEMBA.
– Matemba ni ukoo wa wachagga wanaopatikana kwa wingi zaidi katika eneo la ukanda wa katikati wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Matemba ni ukoo wenye watu wengi makini wanaofanya vizuri sana kitaaluma na katika biashara na ujasiriamali katika taasisi mbalimbali za umma binafsi na hata katika mashirika makubwa. – Ukoo wa …
UKOO WA MAKOI.
– Makoi ni ukoo wa wachagga unaopatikana zaidi katika ukanda wa magharibi ya karibu ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Makoi ni watu wenye sifa ya kuwa majasiri sana huku wengi wakiwa ni watu wanaofanya vizuri sana kwenye maisha hasa katika biashara na ujasiriamali. – Ukoo wa Makoi pia ni ukoo unaotoa watu wengi …
UKOO WA CHAO.
– Chao ni ukoo wa wachagga wanaopatikana zaidi maeneo ya ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Chao sio ukoo mkubwa wala unaopatikana katika vijiji vya maeneo mengi lakini ni ukoo wenye watu wengi makini na wasomi wanaofanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali. – Kutoka kwenye kitabu cha “Miaka 700 Ya Wachagga” …
UKOO WA KISAMO.
– Kisamo ni ukoo wa wachagga wanaopatikana kwa wingi zaidi katika eneo la mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro hususan Marangu. Huu ni ukoo wa wenye watu wengi makini na wasomi wakubwa ambao wanafanya vizuri sana katika nyanja kuanzia taaluma, biashara n.k., katika taasisi na mashariki mbalimbali ndani na nje ya nchi. – Ukoo wa …
UKOO WA LYAKURWA.
– Lyakurwa ni ukoo mashuhuri wa kichagga unaopatikana zaidi mwanzoni mwa ukanda wa mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wa watu mashuhuri na wenye historia kubwa inayokwenda mbali sana katika eneo la himaya ya umangi Mengwe ambayo baadaye ilikuja kuitwa himaya ya umangi Keni-Mriti-Mengwe. – Ukoo wa Lyakurwa na koo nyingine kadhaa …
UKOO WA TAIRO.
– Tairo ni ukoo wa wachagga wanaopatikana zaidi katika eneo la ukanda wa mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wenye wasomi wengi lakini pia ukiwa umetoa wafanyabiashara wengi wadogo na wa kati. – Hata hivyo ukoo wa Tairo haujatajwa sana kwenye kitabu cha “Miaka 700 Ya Wachagga” japo umeenea zaidi katika eneo …
UKOO WA NYELLA.
– Nyella ni ukoo wa wachagga wanaopatikana zaidi katika eneo la katika la ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro na kiasi katika eneo la mwanzoni la ukanda wa mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wenye watu wengi wasomi na wanaofanya vizuri sana kwenye taasisi mbalimbali za ndani na za kimataifa …