UKOO WA MATEMBA.

– Matemba ni ukoo wa wachagga wanaopatikana kwa wingi zaidi katika eneo la ukanda wa katikati wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Matemba ni ukoo wenye watu wengi makini wanaofanya vizuri sana kitaaluma na katika biashara na ujasiriamali katika taasisi mbalimbali za umma binafsi na hata katika mashirika makubwa. – Ukoo wa …

UKOO WA MAKOI.

– Makoi ni ukoo wa wachagga unaopatikana zaidi katika ukanda wa magharibi ya karibu ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Makoi ni watu wenye sifa ya kuwa majasiri sana huku wengi wakiwa ni watu wanaofanya vizuri sana kwenye maisha hasa katika biashara na ujasiriamali. – Ukoo wa Makoi pia ni ukoo unaotoa watu wengi …

UKOO WA CHAO.

– Chao ni ukoo wa wachagga wanaopatikana zaidi maeneo ya ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Chao sio ukoo mkubwa wala unaopatikana katika vijiji vya maeneo mengi lakini ni ukoo wenye watu wengi makini na wasomi wanaofanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali. – Kutoka kwenye kitabu cha “Miaka 700 Ya Wachagga” …