KIJIJI CHA MDAWI, OLD MOSHI. – KITIMBIRIHU HOLISTIC CENTRE.

KIJIJI CHA MDAWI, OLD MOSHI

. – KITIMBIRIHU HOLISTIC CENTRE.

(ENEO TAKATIFU LA KITIMBIRIHU)

– Eneo Takatifu La Kitimbirihu Ndio Maka Au Yerusalemu Ya Kilimanjaro Kwa Wakristo.

– Kitimbirihu Ilikuwa Ndio Sehemu Ya Kwanza Kilimanjaro Kuanzishwa Shule, Kituo Cha Misheni na Sehemu Ya Kwanza Kufanyika Ibada Ya Kikristo Julai, Mwaka 1885.

– Hii Ni Baada Ya Mangi Rindi Mandara Kuwaandikia Barua Wamisionari wa CMS Society wa London, Uingereza Mwaka 1878 Waje Kufungua Shule Kilimanjaro Ili Watu Wake Wapate Elimu Ya Kimataifa Katika Nyanja Mbalimbali Itakayoweza Kuimarisha Mahusiano Ya Kidiplomasia Kati Yake na Nchi za Ulaya.

– Kitimbirihu Ikawa ni Eneo La Kwanza Kuanzishwa Shule na Misheni Sio Tu Kwa Kilimanjaro na Kaskazini Ya Tanzania Bali Kwa Tanganyika Yote Except Bagamoyo.

– Hata Hivyo Baadaye Miaka Ya 1890’s Kutokana na Vita, Uhasama na Mivutano Kati Ya Wachagga na Wajerumani, Wachagga wa Old Moshi Walichoma Moto Shule Hiyo Ya Bweni na Kituo Cha Misheni Ambacho Walihisi Kitataifishwa na Wajerumani Ambao Walikuwa Wamewafukuza Wamisionari wa CMS Ambao Ndio Walikuwa na Maelewano Nao na Walioshirikiana Kujenga Shule Hiyo na Kituo Hicho.

– Hivyo Misheni Hiyo Ikahamia Kijiji cha Kidia Mwaka 1896.

– Kanisa La KKKT Dayosisi Ya Kaskazini Wamelitangaza Rasmi Eneo La Kitimbirihu Kama Eneo Takatifu La Kikristo Kilimanjaro Maarufu Kama “KITIMBIRIHU HOLISTIC CENTRE” na Mradi Huo Unaendelea.

KIJIJI CHA MDAWI OLD MOSHI, KITIMBIRIHU HOLISTIC CENTRE.

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *