MANENO YA MANGI PETRO ITOSI MAREALLE KWA WACHAGGA

MAMBO MAKUU ZAIDI YANATARAJIWA KUTOKA KWENU

Haya Yalikuwa Ni Maneno Ya “Mangi Petro Itosi Marealle”, Aliyekuwa Mangi Mwitori Wa Jimbo La Vunjo-Uchagga, Na Mmoja Kati Ya Wagombea Wa Nafasi Ya Umangi Mkuu Wa Wachagga, Aliyoyasema Mwaka 1946 Baada Ya Kuandika Kitabu Maarufu “Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera”.

Mangi Petro Itosi Marealle Aliangalia Wazungu Wengi Walioishi Kilimanjaro Wakati Ule Na Kuona Wamepiga Sana Hatua Kifikra Na Kiustaarabu Na Alikuwa Na Ndoto Ya Kuona Wachagga Wakifikia Viwango Vile Walivyokuwa Wamefika Wazungu Kifikra Na Kuona Ni Jambo Linalowezekana Kufikiwa Na Vizazi Vinavyofuata Ila Linalohitaji Juhudi Kubwa Na Mapambano Ya Hali Ya Juu Na Alitamani Kuona Vijana Wa Kichagga Wakiandika Vitabu Zaidi Na Kuja Na Mapinduzi Makubwa Kifikra Kuhusu Falsafa, Uchumi, Siasa, Teknolojia N.k., Ili Kuiepeleka Kilimanjaro Katika Viwango Vya Juu Kabisa Kimataifa, Kama Jinsi Baadhi Ya Nchi Za Asia Zilivyokuja Kufanya Na Kutuacha Nyuma.

Wachagga Tumekwama Wapi?

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *