NEMBO YA LILILOKUWA TAIFA LA WACHAGGA – KILIMANJARO (Tunaomba Tafsiri Zaidi Kwa Wanaojua) 1. Mti Wa Isale Kuzunguka Nembo (Jani Takatifu) 2. Chui Juu Ya Mlima Kilimanjaro (Alama Ya Mamlaka) 3. Mlima Kilimanjaro (Uhai, Ulinzi Na Nyumba Ya Ruwa) 4. Mti Wa Mgomba (Chakula Kikuu Cha Asili) 5. Mti Wa Mkahawa (Zao La Biashara Lililoleta …
Category: Habari
BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI
Huyu Aliitwa BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI Ndiye Askofu Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania (1963 -1976). Ndiye Mwanzilishi wa Hospitali Ya Rufaa KCMC Aliyekuwa na Maono Makubwa Juu Ya KCMC. Chuo Kikuu Cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO) Kilichopo Moshi Kimeitwa Kwa Kumbukumbu Ya Jina Lake. Shule Ya Sekondari “Bishop Moshi” Iliyopo …
NCHI NZURI YA KILIMANJARO
Tuna Nchi Nzuri Sana Na Iliyobarikiwa Kweli, Miundombinu Nayo Inazidi Kuboreshwa. Tuna Mipango Gani Kuhusu Kuwekeza Nyumbani? Tujenge Taasisi Za Kitaaluma Kila Eneo Ili Kuwa Na Msingi Wa Jamii Bora Na Yenye Kujitambua Sana. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
MANGI MKUU THOMAS LENANA MAREALLE
Huyu Aliitwa MSHUMBUE(MPAKWA MAFUTA) AU MANGI THOMAS LENANA MAREALLE Alikuwa Mangi Mkuu Wa Wachagga Kuanzia Januari 1952 Baada Ya Kushinda Uchaguzi Uliohusisha Wagombea 4. Uongozi Wake Kama Mangi Mkuu Ulikuwa Wa Mafanikio Sana Kwani Uchaggani Kulikuwa Na Maboresho Mengi Katika Elimu, Afya, Miundombinu Ya Maji, Njia Za Mawasiliano, Katika Chama Cha Ushirika Na Ujenzi Wa …
MANENO YA MANGI PETRO ITOSI MAREALLE KWA WACHAGGA
“MAMBO MAKUU ZAIDI YANATARAJIWA KUTOKA KWENU“ Haya Yalikuwa Ni Maneno Ya “Mangi Petro Itosi Marealle”, Aliyekuwa Mangi Mwitori Wa Jimbo La Vunjo-Uchagga, Na Mmoja Kati Ya Wagombea Wa Nafasi Ya Umangi Mkuu Wa Wachagga, Aliyoyasema Mwaka 1946 Baada Ya Kuandika Kitabu Maarufu “Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera”. Mangi Petro Itosi Marealle Aliangalia Wazungu …
KIKULETWA HOTSPRING, CHEMCHEMI YA MAJI MOTO.
Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
ITOSHO – SUFURIA ASILI ZA KICHAGGA
Wanaita Itosho! Wangapi Bado Tunatumia Hizi Sufuria Za Kichagga Kupikia? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
THE LAND OF KILIMANJARO, THE SACRED LAND OF THE CHAGGA PEOPLE
Land Where Our Fathers Died, Land Of Pilgrimage Pride. Ardhi Waliyoipigania Babu Zetu, Ardhi Ya Kujivunia. Hii Picha Imepigwa Kutokea Upande Upi? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
“MTURA” WA MOSHI
Ubunifu Wa Utengenezaji Nyama Unaokuja Kwa Kasi Sana Hapa Moshi Aisee, Hii Kitu Weka Mbali Na Watoto – Ukijaribu Utarudi Tena Na Tena Big Up Sana Kwa Watu Wa Moshi Dar Na Arusha Mtura Unapatikana Maeneo Gani? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
NDAFU YA KICHAGGA – NCHINI KENYA
Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com