HISTORIA FUPI YA CHUO CHA UALIMU MARANGU T. T. C Chuo Hiki Ni Taasisi Ya Elimu Iliyo Chini Ya Wizara Ya Elimu na Mafunzo Ya Ufundi Inayotoa Mafunzo Ya Ualimu Mpaka Ngazi Ya Diploma. Kwa Mazingira na Majengo Ni Chuo Chenye Hadhi Ya Juu Sana. Chuo Hiki Kilianza Kama Seminari Ya Kwanza Kilimanjaro Mwaka 1902 …
Category: Historia
HISTORIA YA MJI WA MOSHI
HISTORIA YA MJI WA MOSHI ……..!! Mji wa Moshi Ulitokea Eneo La Old Moshi, Tsudunyi Huko Mlimani Ambapo Ndipo Palikuwa Panaitwa “Moshi” Hapo Kabla. Wakati Wageni Mbalimbali Wanakuja Kwa Wingi Sana Kilimanjaro Kuanzia Katikati Ya Karne Ya 19 Wakitokea Maeneo Ya Pwani, Ulaya, Asia na Uarabuni Waliikuta Old Moshi Ikiwa Ndio Mji Mkubwa Zaidi Kibiashara …
MAISHA YA SAMENI OLE KIVASIS AU JUSTIN LEMENYE, AKIISHI OLD MOSHI WAKATI WA MANGI RINDI MANDARA
An account of Sameni Ole Kivasis also known as Justin Lamenye , a Maasai boy , by 1891 he was 13 years old and his life took a turn when he arrived at “Shinga”, the capital of the Great Mangi Rindi Mandara at Tsuduni. Wanaotoka Moshi/Oldmoshi, kunyweni nguchu moja for Mangi Mangi Rindi Mandara. This …