KIJIJI CHA KOMBO, KIBOSHO . – SOKO LA KOMBO. – SHULE YA MSINGI KOMBO. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA LYAMUNGO KATI. MTAA WA NAZARETI, KOMBO. – EVANGELISTIC ASSEMBLIES OF GOD. KANISA LA UPENDO, KOMBO. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
Category: Vijiji & Koo
ASILI YA MUNGU “RUWA/IRUWA” WA WACHAGGA.
ASILI YA MUNGU “RUWA/IRUWA” WA WACHAGGA. Inafahamika Wazi Kwamba Zamani Kabla Ya Kuja Kwa Dini Kubwa Kubwa Duniani Kila Jamii Ilikuwa na Dini Yao Na Mungu Wao wa Peke Yao. Ndio Maana Hata Kwenye Biblia Takatifu Katika Kitabu cha Kutoka 20, Katika Amri Kumi za Musa Amri Ya Kwanza Inasema, “Mimi ni Bwana Mungu Wako, …
WACHAGGA NI KAMA WAYUNANI WA KALE.
*WACHAGGA NI KAMA WAYUNANI WA KALE.* Muundo na Mifumo Ya Kisiasa Ya Jamii Ya Wachagga Inafanana Kwa Karibu Sana na Muundo na Mifumo Ya Muundo na Mifumo Ya Kisiasa Ya Wayunani wa Kale. Nitajaribu Kueleza Ufananano Katika Kujaribu Kuongeza Pia Uelewa wa Mahusiano Ya Wachagga Baina Yao Wenyewe na Baina Yao na Watu Wengine. *WAYUNANI …
CHAGGA SPIRIT, “ARI YA WACHAGGA”
CHAGGA SPIRIT Nyakati Zimekuwa Zikibadilika Uchaggani Tangu Karne Nyingi Zilizopita na Wachagga Wamekuwa na Tabia Tofauti Kutokana Kwa Nyakati Tofauti Kutokana na Matukio Fulani Yaliyotokea na Kubadilisha Hali Ya Kisiasa Kilimanjaro na Kuhama Kwa Nguvu za Kisiasa Kutoka Eneo Moja Kwenda Jingine na Hata Ushawishi wa Kisiasa Kutoka Himaya Moja Kwenda Nyingine. Jinsi Hali Ya …
LUGHA YA WACHAGGA NI MOJA.
LUGHA YA WACHAGGA NI MOJA. – Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga? – Jibu Ni Lugha …
MOSHI – MJI MKONGWE ZAIDI KASKAZINI YA TANZANIA.
MOSHI – MJI MKONGWE ZAIDI KASKAZINI YA TANZANIA. – Moshi Sio Tu Kwamba Ndio Mji Mkongwe Zaidi na Mji Mama Kaskazini Ya Tanzania, Bali Pia Ndio Ulikuwa Mji wa Utawala Kaskazini Ya Tanzania Kuanzia Mwishoni mwa Karne Ya 19 na Mwanzoni Mwa Karne Ya 20. – Kilimanjaro Ikiwa Ndio Eneo Maarufu Zaidi Tanganyika Kutokea Pwani, …
UTARATIBU WA KUPEWA MAJINA UCHAGGANI.
UTARATIBU WA KUPEWA MAJINA UCHAGGANI. Kwa Mila na Desturi za Kichagga Kumekuwa na Utaratibu Huu wa Watoto Kupewa Majina Kwa Uchaggani Kote. Utaratibu Huu Kuna Watu Wengine Hawaufahamu Vizuri au Namna Unavyofanya Kazi. Mila Hii Ya Utoaji Majina Kichagga Huwa Katika Familia Kama Ifuatavyo: – Mtoto wa Kwanza wa Kiume Hupewa Jina La Baba wa …
MAJINA YA ASILI YA MAENEO YA UCHAGGA, KILIMANJARO
Miaka Mingi Imepita Tangu Tumeanza Kuiacha Asili Yetu Kiasi Kwamba Sisi Wenyewe Tumeendelea Kuwa Ni Wageni kwa Tamaduni Zetu Wenyewe Kadiri Siku Zinavyosonga Mbele. Mchagga wa Mwaka 1890 Akikutana na Mchagga wa Mwaka 2021 Wakizungumzia Maeneo Ya Kilimanjaro Wanaweza Wasielewane Kabisa Wanachozungumzia. Leo Tujikumbushe Majina Ya Asili Ya Baadhi Ya Maeneo Ya Uchagga, Kilimanjaro Kabla …
“HATUA MBILI KUBWA MUHIMU, WALIZOKUWA WAMEPIGA WACHAGGA, KABLA YA UKOLONI ZISIZOPEWA UZITO UNAOSTAHILI.”
“HATUA MBILI KUBWA MUHIMU, WALIZOKUWA WAMEPIGA WACHAGGA, KABLA YA UKOLONI ZISIZOPEWA UZITO UNAOSTAHILI.” 1. LUGHA YA MAANDISHI. 2. MAHUSIANO YA KIMATAIFA. 1. LUGHA YA MAANDISHI. Mabadiliko Ya Kifikra Ya Binadamu(Cognitive Revolution), Yalipelekea Binadamu Wote Kuweza Kugundua Lugha Ya Matamshi Lakini Iliwachukua Binadamu Maelfu Ya Miaka Kuweza Kugundua Lugha Ya Maandishi. Jamii Nyingi Hazikuendeleza Lugha Ya …
HOSPITALI YA MKOA WA KILIMANJARO, MAWENZI ILIPOTOKEA
#HOSPITALI YA MKOA WA KILIMANJARO, MAWENZI ILIPOTOKEA#. Kuanzia Karne Ya 19 Mpaka Mwanzoni mwa Karne Ya 20 Mji wa Moshi na Taasisi Zake Vilianzia Old Moshi Katika Kijiji cha Tsudunyi. Taasisi Hizi Zilikuwa ni Pamoja na Ofisi za Utawala Kaskazini Ya Tanganyika, Mahakama, Hospitali, Polisi, Soko, Stesheni n.k., Taasisi Hizi Baadaye Mwaka 1919 Zilikuja Kuhama …