KILELE CHA MAWENZI, CHA MLIMA KILIMANJARO.

KILELE CHA MAWENZI, CHA MLIMA KILIMANJARO. – Ukizungumzia Mlima Kilimanjaro Watu Wengi Akili Zao Moja kwa Moja Huwa Zinaenda Kwenye Kilele cha Kibo na Kidogo Kilele cha Mawenzi. Kilele cha Shira Watu Wengine Ndio Hawajui Hata Kilipo na Kuna Ambao Hawajui Hata Kama Kipo. – Kilele cha Mawenzi Kipo Upande wa Mashariki wa Mlima Kilimanjaro …

MUONEKANO BORA ZAIDI WA KILELE CHA KIBO, MLIMA KILIMANJARO.

MUONEKANO BORA ZAIDI WA KILELE CHA KIBO, MLIMA KILIMANJARO. Katika Kuizunguka Uchagga, Kilimanjaro Tumeweza Kupata Mwonekano(View) Tofauti Tofauti za Mlima Kilimanjaro kwa Maeneo Mbalimbali. Muonekano(View) Ya Mlima Kilimanjaro Kwa Ujumla Ni Nzuri Sana Kutokea Kwenye Maeneo Mengi Ya Uchagga Kilimanjaro Kwa Ujumla Lakini Eneo Ambalo Pengine Mlima Unaweza Kuuhisi na Kuuona kwa Ukubwa na Mvuto …

WACHAGGA WAHAFIDHINA vs WACHAGGA MALIBERALI.

WACHAGGA WAHAFIDHINA vs WACHAGGA MALIBERALI. Linapokuja suala la kutunza tamaduni siku zote watu hugawanyika katika pande kuu mbili japo wachache hubaki katikati. Kuna wale wa mrengo wa kulia ambao ndio huitwa wahafidhina(conservatives) na wale wa mrengo wa kushoto ambao huitwa *maliberali(liberals)*(huru). Hata miongoni mwetu Wachagga wapo wahafidhina ambao ndio huitwa wa mrengo wa kulia na …

KIJIJI KILICHOTIMIZA VIGEZO VINGI ZAIDI VYA KUWA NA MVUTO ZAIDI KILIMANJARO.

KIJIJI KILICHOTIMIZA VIGEZO VINGI ZAIDI VYA KUWA NA MVUTO ZAIDI KILIMANJARO. KIJIJI CHA ARISI, MARANGU. – Imetuchukua Muda Mrefu Kufikia Hitimisho Hili Kwamba Katika Vijiji Vyote Tulivyotembelea Uchaggani, Kilimanjaro Ni Kijiji Gani Tunaweza Kukitaja Kwamba Kimeweza Kuwa na Uwiano Mzuri Zaidi wa Kufikia Vigezo Tulivyoweka. – Kama Mnavyojua na Mlivyoweza Kujionea Hapa Pia Vijiji vya …

KIJIJI CHA WAZALENDO, KILIMANJARO.

KIJIJI CHA WAZALENDO. KIJIJI CHA KOMAKUNDI, MAMBA – Katika Ziara Yote Tuliyofanya Kilimanjaro Hakuna Kijiji Ambacho Tumekuta Watu ni Wazalendo na Wanaojivunia Kijiji Chao Kama Watu wa Kijiji cha Komakundi, Mamba. Baadhi Ya Vijiji vya Rombo Pia Watu Wanajivunia Vijiji Vyao Lakini Sio Kama Komakundi. – Kwanza Ndicho Kijiji Pekee Kilimanjaro Nzima Ambacho Kabla Hujaingia …

ENEO MAARUFU NA MASHUHURI LA ASILI YA WAFINYANZI LINALOKUMBWA NA CHANGAMOTO YA ULEVI.

ENEO MAARUFU NA MASHUHURI LA ASILI YA WAFINYANZI LINALOKUMBWA NA CHANGAMOTO YA ULEVI. – KIJIJI/KATA YA NARUMU, MACHAME. – Kijiji/Kata Ya Narumu Ni Eneo Lililopo Katika Tarafa Ya Machame, Katika Wilaya Ya Hai, Magharibi Ya Kilimanjaro. Narumu Kwa Upande wa Magharibi Imepakana na Kijiji cha Nshara, Machame Ikitenganishwa na Mto Weruweru na Upande wa Magharibi …

VIJIJI VITATU VINAVYOFUFUA MATUMAINI YA WACHAGGA, KILIMANJARO.

VIJIJI VITATU VINAVYOFUFUA MATUMAINI YA WACHAGGA, KILIMANJARO. 1. KIJIJI CHA Nkweshoo, MACHAME . 2. KIJIJI CHA Mweka, KIBOSHO. 3. KIJIJI CHA Mwika, MWIKA. Katika ziara tuliyofanya hivi karibuni, hivi ndio vijiji ambavyo vimetushangaza na kutufurahisha kwani tumekutana na vitu muhimu ambavyo hatukutegemea kuvikuta ambavyo ni uwepo wa MAKTABA YA KIJAMII (COMMUNITY LIBRARY) kijijini. Kipekee tupongeze …

TUMEMALIZA!

TUMEMALIZA! Tumehitimisha Ziara Iliyoanza Septemba 2020 Mpaka Aprili 2021 Ya Kufikia Kila Kijiji Cha Uchagga, Kilimanjaro. Tunashukuru Kwamba Kwa Ziara Hii Tumeweza Kufika Vijiji Vyote na Kuwaletea 98% Ya Vijiji Vyote Vya Kilimanjaro, Pamoja na Vitu Muhimu Vilivyopo(Landmarks), Japo Kwa Sababu Ya Ugeni Mwanzoni Kuna Baadhi Ya Vijiji Vichache Tulipata Changamoto Ya Kuchukua Picha Hivyo …

MJI WA SANYA JUU, SIHA.

MJI WA SANYA JUU, SIHA. – OFISI YA MKUU WA WILAYA YA SIHA. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA SANYA JUU. – JIMBO KATOLIKI MOSHI. PAROKIA YA SANYA JUU. – OFISI YA MKURUGENZI. HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA. – HOSPITALI YA WILAYA YA SIHA. – OFISI ZA TRA, WILAYA YA SIHA. – OFISI ZA …