KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI USHARIKA WA MASAMA – TEMA SHULE YA MSINGI MASAMA – TEMA Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA MBORENY, MASAMA
KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI, USHARIKA WA MASAMA. SHULE YA MSINGI NKWAKININI OFISI YA KIJIJI CHA MBORENY. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA SONU, MASAMA.
KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA SONU, KIJIJI CHA SONU, MASAMA. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA NG’UNI, MASAMA.
KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA NG’UNI. KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI USHARIKA WA KASKAZINI MTAA WA NURE. KIJIJI CHA NG’UNI, MASAMA MAGHARIBI Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA LUKANI, MASAMA
KIJIJI CHA LUKANI, MASAMA KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI USHARIKA WA LUKANI, Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
WIMBO WA KICHAGGA “MANGI CHAMECHA” – EZRON MACHA KYELU
MANGI KUTOKA KILIMANJARO. Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
MTAA WA MANGI MAMKINGA – MOSHI MJINI
MAMKINGA STREET, MOSHI MJINI Kwa Heshima Ya MANGI MAMKINGA RENGUA MUSHI. Mangi Mamkinga Mushi Alikuwa Mangi wa Machame Miaka 200 Iliyopita Tangu Mwaka 1820 – 1858. Alikuwa Ni Mangi Mwenye Nguvu Sana Kilimanjaro Akizitiisha Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi, Kirua, Kilema, Marangu, Mamba mpaka Mwika. Yaani Kumbukumbu Zinaonyesha Katika Kipindi Chake Aliitiisha Kilimanjaro yote isipokuwa …
BUSTANI HALISI YA EDENI – KILIMANJARO
BUSTANI HALISI YA EDENI – KILIMANJARO. Kilimanjaro Imekuwa Ni Sehemu Inayovutia Sana Duniani, Pengine Inaongoza Au Ni Moja Ya Maeneo Ya Asili Yenye Kuvutia Sana Duniani. Mwishoni Mwa Karne Ya 19 Wakati Serikali Ya Ujerumani Ilipoamua Kuja Kuitawala Kilimanjaro Na Kutuma Vijana Wa Kijerumani Kuja Kujitolea Katika Jeshi na Katika Serikali Mpya Ya Kikoloni Vijana …
HISTORIA FUPI YA CHUO CHA UALIMU MARANGU T. T. C
HISTORIA FUPI YA CHUO CHA UALIMU MARANGU T. T. C Chuo Hiki Ni Taasisi Ya Elimu Iliyo Chini Ya Wizara Ya Elimu na Mafunzo Ya Ufundi Inayotoa Mafunzo Ya Ualimu Mpaka Ngazi Ya Diploma. Kwa Mazingira na Majengo Ni Chuo Chenye Hadhi Ya Juu Sana. Chuo Hiki Kilianza Kama Seminari Ya Kwanza Kilimanjaro Mwaka 1902 …
HOTUBA YA MANGI MKUU WA WACHAGGA (SIKU YA KUAPISHWA)
HOTUBA YA MANGI MKUU WA WACHAGGA (SIKU YA KUAPISHWA) “Tunatakiwa Kushirikiana Kwa Karibu Sana Katika Majukumu Yetu Yote Kwa Sababu Bila Ushirikiano Thabiti Malengo Yetu Yote na Jitihada Zetu Vitakuwa ni Kazi Bure. Mimi Kwa Upande Wangu Ni Kama Nilivyoapa, Nitafanya Kila Kitu Ndani Ya Uwezo Wangu Kuweka Mbele Maslahi Ya Baraza Kuu La Wachagga”. …