“THE JEWISH PHENOMENON”, #SEHEMU YA 2#

“THE JEWISH PHENOMENON” #SEHEMU YA 2# WAYAHUDI/WAISRAEL NI NANI? Wayahudi/Waisrael au kwa kiingereza maarufu zaidi kama “Jews” ni jamii ya watu, ni taifa, ni dini na ni kabila pia. Wayahudi wana dini yao rasmi ya kiyahudi ambayo ndio imezaa dini ya kikristo na baadaye uislamu, lakini Wayahudi hawa waliendelea kubaki kwenye dini yao ile ile …

“THE JEWISH PHENOMENON” 7 Keys To Enduring Wealth of The People. “SEHEMU YA 1.”

“THE JEWISH PHENOMENON” 7 Keys To Enduring Wealth of The People. “SEHEMU YA 1.” Utangulizi Mwandishi wa kitabu hiki cha “The Jewish Phenomenon” ambacho kinazungumzia njia saba zinazopelekea jamii ya watu fulani kuwa na utajiri usio na kikomo na usioisha, Steven Silbiger anasema Wayahudi ndio jamii/kabila la watu matajiri zaidi ndani ya Marekani. Makampuni makubwa …

“THE JEWISH PHENOMENON”

“THE JEWISH PHENOMENON” Hiki Ni Kitabu Kilichoandikwa na Mr. Steven Silbiger, Kinachoelezea Historia, Mapito na Mafanikio Ya Jamii Ya Wayahudi Kwa Kipindi Cha Takriban Miaka 4,000 Mpaka Sasa. Wayahudi au Waisrael Kwa Mujibu wa Mwandishi Ni Jamii Iliyopitia Nyakati Nyingi Ngumu Katika Kipindi Chote Cha Historia na Wamekuwa Wahanga wa Mateso, Manyanyaso na Mauaji Mengi …

KWA NINI KILIMANJARO NI MUHIMU SANA KWA WACHAGGA?

KWA NINI KILIMANJARO NI MUHIMU SANA KWA WACHAGGA? KWA NINI ARDHI YA WACHAGGA HAIUZIKI? KWA NINI WACHAGGA HUENDA NYUMBANI KUSHEREHEKEA KILA MWISHO WA MWAKA? KWA NINI MCHAGGA AKIFARIKI NI LAZIMA AKAZIKWE KWENYE ARDHI YA KILIMANJARO? Watu Wengi Ikiwemo Baadhi Yetu Sisi Wachagga Hawana Majibu Ya Uhakika Kwa Maswali Haya Ambayo Ni Muhimu Sana Kwa Kila …

WACHAGGA NI WACHAGGA

WACHAGGA NI WACHAGGA Zimekuwepo Nadharia Nyingi Zinazojaribu Kuja na Majibu Ya Wachagga Ni Watu Gani, Nyingi Zikitokana na Wachagga Wenyewe Wengine Wanasema Wachagga Ni Wamasai, Wengine Wanasema Wachagga ni Wakamba, Wengine Wanasema Wachagga Ni Wataita N.k., Leo Mimi Nakwambia Kwamba Wachagga Ni Wachagga. Yaani Wachagga Ni Jamii Ya Kipekee Ambayo Ni Wachagga. Japo Ni Kweli …

MWANAZUONI WA HISTORIA, TAMADUNI NA MILA ZA KICHAGGA DR. BRUNO GUTTMAN

Huyu Aliitwa Dr. Bruno Gutmann, Mmisionari wa Kilutheri na Mwanazuoni wa Mila, Desturi, Tamaduni na Falsafa Mbalimbali za Jamii Ya Wachagga. -Dr. Bruno Gutmann Alizaliwa Tarehe 4/Julai/1876 Katika Mji wa Dresden Huko Nchini Ujerumani. Dr. Bruno Gutmann Aliishi Kilimanjaro Kwa Zaidi Ya Miaka 36 Kuanzia Mwaka 1902 Mpaka Mwaka 1938 Akijifunza Mambo Mbalimbali Kuhusu Jamii …

ASILI YA WACHAGGA KUJIVUNIA NCHI YAO.

Sir Charles Dundas, Ambaye Pia Aliwahi Kuwa Gavana wa Serikali Ya Waingereza Kilimanjaro Aliwahi Kusema Kwamba Amezunguka Sana Afrika Lakini Hakuwahi Kukutana na Watu Wazalendo na Wanaoipenda na Kujivunia Nchi Yao Kama Wachagga na Kilimanjaro. Major Dundas Anasema Kwamba Hilo Inawezekana Lilitokana na Hali Nzuri Ya Hewa Ya Kilimanjaro, Vyakula Tele na Uzuri na Umaridadi …

LYIMO KUTOKA KILEMA CHINI

NDUGU YETU LYIMO KUTOKA KILEMA CHINi/KILEMA KYA SERI, AMETUFANYIA KAZI NZURI SANA WACHAGGA. SASA UMEKUWA KAMA WIMBO WA TAIFA LA WACHAGGA TUFANYE KU-SHARE KUIUNGA MKONO KAZI HII NZURI AMBAYO INATANGAZA IDENTITY YETU NA KUTUONGEZEA UMAARUFU NA UMASHUHURI NA KUMUUNGA MKONO LYIMO KATIKA KAZI ZAKE ZA KUTANGAZA ZAIDI IDENTITY YETU AIKA LYIMO SHIMBONYI SHANYU WACHAKA. Urithi …

UCHAWI KWA WACHAGGA/(USAWI)

Je, Wachagga wa Leo Tuko Katika Nafasi Gani Tunapozungumzia Suala Zima La Uchawi? Katika Kitabu Cha Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani na Ahera, Tulichoandikiwa Wachagga na Mangi Petro Itosi Marealle Miaka Ya 1940s, Ambacho Amejaribu Kuzungumza Kwa Mapana Kuhusu Mambo Mengi Yanayotuhusu Wachagga Amezungumzia Pia Suala Zima La Uchawi kwa Wachagga. Mangi Petro Itosi Marealle, …