Kuhusu Sisi

Sisi ni Taasisi ya “Urithi wetu Wachagga” ambao tunajishughulisha na kuhifadhi, kuelimishana na kuenzi historia, tamaduni na lugha ya jamii ya Wachagga, Kilimanjaro pamoja na kutoa miongozo ya taratibu na desturi za matukio mbalimbali ya kijamii kwa namna inavyokubalika na tamaduni za kichagga.