HISTORIA YA MJI WA MOSHI

HISTORIA YA MJI WA MOSHI ……..!! Mji wa Moshi Ulitokea Eneo La Old Moshi, Tsudunyi Huko Mlimani Ambapo Ndipo Palikuwa Panaitwa “Moshi” Hapo Kabla. Wakati Wageni Mbalimbali Wanakuja Kwa Wingi Sana Kilimanjaro Kuanzia Katikati Ya Karne Ya 19 Wakitokea Maeneo Ya Pwani, Ulaya, Asia na Uarabuni Waliikuta Old Moshi Ikiwa Ndio Mji Mkubwa Zaidi Kibiashara …