MTAZAMO NDIPO NGUVU YETU ILIPO.

Miaka imeendelea kwenda na mambo yameendelea kubadilika sana na kwa kasi kubwa, mabadiliko haya yanakwenda kwa kasi sana na yanapelekea mabadiliko pia ya mienendo na tamaduni zetu siku baada ya siku. Mabadiliko haya yamekuwa na matokeo chanya na hasi kwa namna ambazo tunaweza kuyatafsiri kadiri tunavyozitambua thamani kwa mitazamo na imani tulizojengewa. Tukija kwa upande …

UKOO WA NYAKI.

– Nyaki ni ukoo mkongwe sana wa wachagga unaopatikana katika maeneo ya baadhi ya vijiji vya magharibi ya karibu na mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Nyaki wakiwa wamesambaa na wanapatikana maeneo mbalimbali ndani na nje ya Uchagga, Kilimanjaro ni watu wanaofanya vizuri katika fani mbalimbali ikiwemo taaluma na ujasiriamali, huku …

MICHAEL NGALEKU SHIRIMA.

One of the Greatest Sons of Kilimanjaro. – Wachagga na Sifa Ya Kipekee Sana Kama Jamii Ya Wazawa Ndani Ya Nchi Hii Inayofanya Vizuri Sana Kwenye Sekta Binafsi. Pamoja na Mitazamo Hasi na Chuki za Baadhi Ya Watu Kwa Jamii Hii Bado Kwa Sehemu Kubwa Ndio Viongozi Katika Maeneo Mengi Kwenye Sekta Binafsi Nchini. – …

UKOO WA KITALI.

– Kitali ni ukoo wa wachagga unaopatikana kwa kiasi katika maeneo ya mashariki ya karibu, mashariki ya kati na mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Kitali wamesambaa kwa kiasi katika baadhi ya vijiji lakini vinavyopatikana mbalimbali sana kuelekea upande wa mashariki ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Kitali wanafanya shughuli …