WACHAGGA NI KAMA WAYUNANI WA KALE.

*WACHAGGA NI KAMA WAYUNANI WA KALE.* Muundo na Mifumo Ya Kisiasa Ya Jamii Ya Wachagga Inafanana Kwa Karibu Sana na Muundo na Mifumo Ya Muundo na Mifumo Ya Kisiasa Ya Wayunani wa Kale. Nitajaribu Kueleza Ufananano Katika Kujaribu Kuongeza Pia Uelewa wa Mahusiano Ya Wachagga Baina Yao Wenyewe na Baina Yao na Watu Wengine. *WAYUNANI …

CHAGGA SPIRIT, “ARI YA WACHAGGA”

CHAGGA SPIRIT Nyakati Zimekuwa Zikibadilika Uchaggani Tangu Karne Nyingi Zilizopita na Wachagga Wamekuwa na Tabia Tofauti Kutokana Kwa Nyakati Tofauti Kutokana na Matukio Fulani Yaliyotokea na Kubadilisha Hali Ya Kisiasa Kilimanjaro na Kuhama Kwa Nguvu za Kisiasa Kutoka Eneo Moja Kwenda Jingine na Hata Ushawishi wa Kisiasa Kutoka Himaya Moja Kwenda Nyingine. Jinsi Hali Ya …

LUGHA YA WACHAGGA NI MOJA.

LUGHA YA WACHAGGA NI MOJA. – Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga? – Jibu Ni Lugha …

UTARATIBU WA KUPEWA MAJINA UCHAGGANI.

UTARATIBU WA KUPEWA MAJINA UCHAGGANI. Kwa Mila na Desturi za Kichagga Kumekuwa na Utaratibu Huu wa Watoto Kupewa Majina Kwa Uchaggani Kote. Utaratibu Huu Kuna Watu Wengine Hawaufahamu Vizuri au Namna Unavyofanya Kazi. Mila Hii Ya Utoaji Majina Kichagga Huwa Katika Familia Kama Ifuatavyo: – Mtoto wa Kwanza wa Kiume Hupewa Jina La Baba wa …

MAJINA YA ASILI YA MAENEO YA UCHAGGA, KILIMANJARO

Miaka Mingi Imepita Tangu Tumeanza Kuiacha Asili Yetu Kiasi Kwamba Sisi Wenyewe Tumeendelea Kuwa Ni Wageni kwa Tamaduni Zetu Wenyewe Kadiri Siku Zinavyosonga Mbele. Mchagga wa Mwaka 1890 Akikutana na Mchagga wa Mwaka 2021 Wakizungumzia Maeneo Ya Kilimanjaro Wanaweza Wasielewane Kabisa Wanachozungumzia. Leo Tujikumbushe Majina Ya Asili Ya Baadhi Ya Maeneo Ya Uchagga, Kilimanjaro Kabla …

“HATUA MBILI KUBWA MUHIMU, WALIZOKUWA WAMEPIGA WACHAGGA, KABLA YA UKOLONI ZISIZOPEWA UZITO UNAOSTAHILI.”

“HATUA MBILI KUBWA MUHIMU, WALIZOKUWA WAMEPIGA WACHAGGA, KABLA YA UKOLONI ZISIZOPEWA UZITO UNAOSTAHILI.” 1. LUGHA YA MAANDISHI. 2. MAHUSIANO YA KIMATAIFA. 1. LUGHA YA MAANDISHI. Mabadiliko Ya Kifikra Ya Binadamu(Cognitive Revolution), Yalipelekea Binadamu Wote Kuweza Kugundua Lugha Ya Matamshi Lakini Iliwachukua Binadamu Maelfu Ya Miaka Kuweza Kugundua Lugha Ya Maandishi. Jamii Nyingi Hazikuendeleza Lugha Ya …

KILELE CHA MAWENZI, CHA MLIMA KILIMANJARO.

KILELE CHA MAWENZI, CHA MLIMA KILIMANJARO. – Ukizungumzia Mlima Kilimanjaro Watu Wengi Akili Zao Moja kwa Moja Huwa Zinaenda Kwenye Kilele cha Kibo na Kidogo Kilele cha Mawenzi. Kilele cha Shira Watu Wengine Ndio Hawajui Hata Kilipo na Kuna Ambao Hawajui Hata Kama Kipo. – Kilele cha Mawenzi Kipo Upande wa Mashariki wa Mlima Kilimanjaro …