UKOO WA KIMEI.

– Kimei ni ukoo wa wachagga wanaopatikana kwa wingi zaidi katika lote la mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Kimei ni ukoo wenye watu makini na wanaofanya vizuri katika maeneo na tasnia mbalimbali tangu zamani sana mpaka sasa. Huu ni ukoo wenye watu wanaopenda kujituma sana na hivyo kupata matokeo makubwa katika yale …

UKOO WA KAALE.

– Kaale ni ukoo wa wachagga wanaopatikana katika maeneo ya mwishoni mwa ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Kaale sio ukoo mkubwa wala unaopatikana maeneo mengi lakini ni ukoo wa watu makini wanaofanya vizuri sana kitaaluma na kwenye biashara na ujasiriamali. – Wako wachagga wengi wa ukoo wa Kaale wanaofanya vizuri …

UKOO WA NYANGE.

Nyange ni ukoo wa kichagga unaopatikana kwa wingi katika ukanda wa maeneo ya magharibi ya kati, mashariki ya karibu, mashariki ya kati na mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wenye historia kubwa sana na ya kipekee katika nchi ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Nyange ni ukoo wenye watu wengi mashuhuri na wanaofanya …