UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 11.

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. USAWI (UCHAWI) KWA WACHAGGA. -Katika nchi ya Uchagga tuliogopa sana “usawi” (uchawi) toka zamani sana. Huu uchawi ulitisha watu wote, wakubwa kwa wadogo, waume kwa wake, watoto mpaka Wamangi. Ulitisha kuliko magonjwa ya kifua kikuu na ndui. Kwani mtu …

UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 10.

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. “MIZIMU” -Wachagga zamani waliamini na kutambikia mizimu, yaani watu wao walio marehemu. Waliamini mtu akishakufa bado alikwenda kuishi tena kule kuzimuni, lakini si kwa mwili huu tulio nao. Wachagga walisadiki kuwa hawa mizimu hula na kunywa, na kuweza kuja …

UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 9.

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. IMANI YA WACHAGGA. “RUWA” -Wachagga huamini “Ruwa”(Mungu) kwamba ni Mkuu kupita mizimu yote wanayotambikia. Huyu Ruwa hasumbui wanadamu kwa sababu ndogondogo kama vile mizimu iwasumbuavyo ikiwa haikutambikiwa. Tambiko alilotolewa Ruwa ni tofauti na tambiko la mizimu kwa hali na …

UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 8.

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. MAZISHI YA WAMANGI. -Mangi walizikwa mchangani kama watu wengine, lakini kabla ya kuzikwa walitiwa ndani ya chombo cha mti uliochongwa ndani yake wazi kama mzinga wa nyuki mkubwa kama pipa. Kifo cha Mangi hapo zamani kilifichwa sana, pia siku …

UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 7.

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. KIFO NA MAZISHI YA WACHAGGA. -Mchagga yeyote alisemekana hawezi kufa kiurahisi isipokuwa kwa kukosea yeye mwenyewe, yaani ikiwa hakutimizi desturi za ukoo wake au kwa bahati mbaya akiugua na hivi huweza kufa upesi. Kwa hiyo mara auguapo humbidi kufikiri …

UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 6.

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. NDOA -Wachagga ni watu wa jamii moja na taifa moja lenye watu wa koo mbalimbali, nao wameishi kwa kuchanganyika sana toka karne nyingi zilizopita. Kwa hiyo desturi na kanuni za maisha yao ni moja katika maeneo yote ya Uchagga …

UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 5.

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. MAFUNDISHO YA SHIGHA NA MREGHO. -Msichana anapoendelea kukua alifundishwa mambo mbalimbali ya kuhusu nafasi yake kama mwanamke hasa katika ndoa, mafundisho haya yaliitwa “shigha” na “mregho” ambapo waliweza kujifunza mambo mengi ambayo yaliwasaidia katika maisha yao. Msichana ambaye hakufundishwa …

UCHAMBUZI WA KITABU. – SEHEMU YA 4.

*Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera” By Mangi Petro Itosi Marealle* Uchambuzi by Mary Assenga. MAFUNDISHO AMBAYO BABU NA BIBI WAFUNDISHAYO WATOTO KAMA HAWA WAKATI HUU WA USIKU NI KAMA HAYA;- Hiki ni kichagga cha zamani kidogo kwa hiyo kuna baadhi ya misamiati imeshamezwa sana na Kiswahili kwa siku hizi, hivyo usijali sana kama …