UKOO WA MAUKI.

– Mauki ni ukoo wa kichagga unaopatikana kwa wingi zaidi katika eneo la ukanda wa katikati, magharibi ya karibu na mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu sio ukoo wenye idadi kubwa sana ya watu wala wenye umaarufu sana lakini ni ukoo wenye watu makini sana pia. Kutoka kwenye historia ukoo wa Mauki kuna wakati …

UKOO WA KIMATHI.

– Kimathi ni ukoo mkubwa wa kichagga unaopatikana kwa wingi zaidi katika eneo la ukanda wa magharibi ya karibu ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Kimathi ni watu wenye bidii kubwa ya maisha na wanapatikana maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya nchi wakifanya vizuri katika maeneo mbalimbali hususan katika …

UKOO WA MARANDU.

– Marandu ni ukoo maarufu wa kichagga unaopatikana kwa kiasi katika ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga na kwa wingi zaidi katika ukanda wa mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Marandu ukiwa ni ukoo mkongwe wenye watu katika tasnia mbalimbali hususan biashara na ujasiriamali ni ukoo pia uliotoa na unaoendelea kutoa watu …

UKOO WA LYAMUYA.

– Lyamuya ni ukoo maarufu wa wachagga wanaopatikana kwa wingi zaidi katika ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo wa Lyamuya una watu wengi waliosambaa maeneo mbalimbali ndani na nje ya Kilimanjaro wakifanya vizuri katika shughuli za biashara na ujasiriamali. Ukoo wa Lyamuya pia una watu wengi wanaofanya kazi katika taasisi na mashirika …