“MTURA” WA MOSHI

Ubunifu Wa Utengenezaji Nyama Unaokuja Kwa Kasi Sana Hapa Moshi Aisee, Hii Kitu Weka Mbali Na Watoto – Ukijaribu Utarudi Tena Na Tena Big Up Sana Kwa Watu Wa Moshi Dar Na Arusha Mtura Unapatikana Maeneo Gani? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com

KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU)

Ndio Chama Cha Ushirika Kikongwe Zaidi Barani Africa Kikiwa Kimeanzishwa 1930. Watu Kutoka Maeneo Mbalimbali Afrika Walikuwa Wanakuja Moshi Kujifunza Namna Ya Kuendesha Vyama Vya Ushirika Kimafanikio. Hata Hivyo Baada Ya Tanganyika Kuwa Nchi Na KNCU Kuingiliwa Sana Na Wanasiasa Sambamba Na Mfumo Mbovu Wa Kisiasa KNCU Kilidhoofika Sana Wakati Vyama Vilivyokuja Kujifunza Ushirika Kupitia …