UKOO WA SOKA/KISOKA/MSOKA.

– Msoka/Soka/Kisoka ni ukoo maarufu wa wachagga unaopatikana katika maeneo ya ukanda wa magharibi ya kati, magharibi ya karibu na mashariki ya karibu ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Msoka na wengine Soka na Kisoka ni watu wanaofanya vizuri zaidi katika maeneo mbalimbali kwa mfano kitaaluma ukoo wa Msoka wanaonekana kufanya vizuri zaidi na …

UKOO WA KWAYU.

– Kwayu ni ukoo wa kichagga unaopatikana kwa wingi katika ukanda wa maeneo ya magharibi ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Ukoo huu ni mkubwa kiasi na mkongwe pia wenye watu wengi makini ambapo baadhi wanafanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali za kimaisha kuanzia taaluma, biashara na ujasiriamali katika taasisi mbalimbali binafsi na za umma. – …

UKOO WA TENGA/MTENGA.

– Tenga na Mtenga ni ukoo wa mkongwe na wenye umashuhuri sana kwa baadhi ya maeneo ya Uchagga, Kilimanjaro ambao umeoyesha umahiri mkubwa katika nyanja mbalimbali katika nyakati tofauti tofauti za kihistoria. Hata hivyo japo hakuna taarifa za kutosha zinazoweza kuunganisha matawi ya ukoo huu kwa usahihi kwa maeneo yote zinakopatikana katika ardhi ya Uchagga, …

UKOO WA MANGESHO.

– Mangesho ni ukoo wa wachagga unaopatikana katika eneo la mwishoni mwa ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga na kwa kiasi katika eneo la katikati la ukanda wa mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Hata hivyo bado hakuna taarifa za uhakika kama ukoo wa Mangesho wa eneo hili la katikati ya ukanda wa mashariki …

UKOO WA MREMI.

– Mremi ni ukoo wa wachagga wenye umaarufu kiasi unaopatikana kwa wingi zaidi katika ukanda wa mwishoni mwa mashariki ya kati ya Uchagga na mwanzoni mwa ukanda wa mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Ni ukoo wenye watu mbalimbali makini wanaofanya vizuri sana katika maeneo mbalimbali hasa biashara na ujasiriamali. – Kutoka kwenye historia Mremi …