KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU)

Ndio Chama Cha Ushirika Kikongwe Zaidi Barani Africa Kikiwa Kimeanzishwa 1930. Watu Kutoka Maeneo Mbalimbali Afrika Walikuwa Wanakuja Moshi Kujifunza Namna Ya Kuendesha Vyama Vya Ushirika Kimafanikio.

Hata Hivyo Baada Ya Tanganyika Kuwa Nchi Na KNCU Kuingiliwa Sana Na Wanasiasa Sambamba Na Mfumo Mbovu Wa Kisiasa KNCU Kilidhoofika Sana Wakati Vyama Vilivyokuja Kujifunza Ushirika Kupitia KNCU Kupiga Hatua Na Kuimarika Sana Maeneo Mengine Afrika Kabla Ya Hapo Wachagga Walikuwa Wameshaanzisha Vyama Vingine Kama Kilimanjaro Native Planters Association(KNPA) Kilichoanzishwa 1924 Na Joseph Merinyo Maro Na Wenzake, Ambacho Kiliuawa Ili Kuanzishwa KNCU.

KNCU Iliweza Kuibadilisha Sana Kilimanjaro Kiuchumi Sambamba Na Kuwekeza Kwenye Huduma Za Kijamii Kama Kujenga Mashule, Vyuo, Barabara, Zahanati na Mpaka Kufikia Miaka Ya Mwanzoni Ya 1940’s Kilimanjaro Yote Ilishawekewa Mifumo Ya Maji Ya Bomba.

(KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU))
(KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU))
(KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU))
(KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU))
(KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU))
SHAMBA LA KAHAWA
MTI WA MKAHAWA ZAO LA BIASHARA LILILOPATA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA USHIRIKA WA KNCU

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *