UKOO WA TAIRO.

– Tairo ni ukoo wa wachagga wanaopatikana zaidi katika eneo la ukanda wa mashariki ya mbali ya Uchagga, Kilimanjaro. Huu ni ukoo wenye wasomi wengi lakini pia ukiwa umetoa wafanyabiashara wengi wadogo na wa kati.

– Hata hivyo ukoo wa Tairo haujatajwa sana kwenye kitabu cha “Miaka 700 Ya Wachagga” japo umeenea zaidi katika eneo lenye historia kubwa na ya kipekee kama chimbuko lake.

Ukoo wa Tairo umesambaa zaidi katika vijiji vya eneo la ukanda wa mashariki ya kati na unapatikana sehemu nyingine kwa wingi na nyingine kwa uchache.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa uchache katika kijiji cha Mkolowony, Mamba.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Mamsera Kati, Mamsera, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa uchache katika kijiji cha Aleni chini, Keni, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Shimbi Mashami, Shimbi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Shimbi Mashariki, Shimbi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Ibukoni, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Makiidi, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa wingi kiasi katika kata ya Kelamfua, Mkuu mjini, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Ushiri, Ushiri/Ikuini, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa wingi sana katika kijiji cha Ikuini, Ushiri/Ikuini, Mkuu, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Mmomwe, Mraokeryo, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kirua, Kirwakeni, Mashati, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Kirongo chini, Usseri, Rombo.

– Ukoo wa Tairo unapatikana kwa uchache katika kijiji cha Mbomai, Tarakea, Rombo.

Ukoo wa Tairo ni ukoo wenye wasomi wengi na watu wenye weledi mkubwa. Hata hivyo bado hakuna maudhui mengi yaliyoandikwa kuhusu ukoo huu, hivyo kuna maswali mengi ambayo hayajajibiki kuhusu ukoo wa Tairo. Tunahitaji kufahamu mengi zaidi kuhusu ukoo wa Tairo ili kuhifadhi maudhui mengi zaidi katika maktaba ya ukoo huu na jamii ya wachagga kwa ujumla. Tunahitaji kuhifadhi taarifa na maudhui katika maktaba za mitandaoni na maktaba halisi pia kwa faida ya kizazi cha sasa na kinachokuja kujitambua na kujijengea kujiamini zaidi kuelekea kufanya makubwa kwenye maisha katika ngazi ya mtu mmoja mmoja, ngazi ya ukoo na jamii nzima ya wachagga kwa ujumla.

Karibu kwa Mchango zaidi wa mawazo na taarifa kuhusu ukoo wa Tairo.

1. Je, unafahamu nini kuhusiana na ukoo wa Tairo?

2. Unafikiri ni kijiji gani ambacho kimesahaulika kutajwa lakini kuna ukoo wa Tairo?

3. Kijijini kwenu kuna ukoo wa Tairo?

4. Kama wewe ni wa ukoo wa Tairo una nini cha kutuambia kuhusu ukoo wenu?

5. Huwa mna maadhimisho yoyote au sherehe za ukoo mwezi gani?

6. Wewe ni Tairo wa kutokea kijiji gani?

7. Bado kuna ushirikiano wowote katika matukio mbalimbali muhimu na ndugu zenu wengine wa matawi ya ukoo wa Tairo kutoka maeneo mengine ya Uchaggani?

8. Ni tabia gani unazozifahamu za wachagga wa ukoo wa Tairo?

9. Wanawake wa ukoo wa Tairo huitwaje, na kwa nini?

10. Una rafiki yako yeyote wa kutokea kwenye ukoo wa Tairo?

11. Ni watu gani mashuhuri unaowafahamu kutoka kwenye ukoo wa Tairo?

12. Kuna mnyama yeyote ambaye labda ni mwiko kuliwa na wachagga wa ukoo wa Tairo?

13. Kuna ukoo ambao hawaruhusiwi kuoana na Wako-Tairo kwa sababu zilizowahi kuwepo miaka ya zamani au nyingine zozote?

Karibu kwa Mchango zaidi au maswali.

Ahsanteni.

Wiki ijayo tutaendelea na ukoo mwingine.

www.wachagga.com

Urithi Wetu Wachagga (Facebook).

urithiwetuwachagga@gmail.com

Whatsapp/Call +255 754 584 270.

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *