UKOO WA MCHAKI/CHAKI.

– Mchaki/Chaki ni ukoo wa wachagga unaopatikana katika maeneo ya vijiji mbalimbali vya Uchagga, Kilimanjaro kuanzia ukanda wa katikati kuelekea ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro. Wachagga wa ukoo wa Mchaki/Chaki kwa ujumla ni watu makini na kuna wengi ambao wanafanya vizuri sana katika nyanja mbalimbali kuanzia ufundi, kitaaluma, biashara na ujasiriamali na …