WAMANGI 17 WA UCHAGGA, KILIMANJARO WALIOKUWA WANAUNDA BARAZA KUU LA SERIKALI YA WACHAGGA MPAKA MWAKA 1961

Mpaka Kufikia Mwaka 1961 Kilimanjaro Ilikuwa na Wamangi 17 wa Maeneo Ya Utawala Waliokuwa Wanaunda Baraza Kuu La Wachagga La Serikali Ya Wachagga Kilimanjaro. 1. Mangi John Gideon Mushi – Siha, Sanya Juu 2. Mangi Charles Shangali – Masama 3. Mangi Gilead Shangali – Machame 4. Mangi Alex Ngulisho – Kibosho 5. Mangi Sabhas Kisarika …