KIJIJI CHA NRONGA, MACHAME

KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI USHARIKA WA NRONGA KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI USHARIKA WA NRONGA MTAA WA NKWAMAKISARYA SHULE YA SEKONDARI NRONGA SHULE YA SEKONDARI KIKAFU SHULE YA MSINGI NRONGA SHULE YA MSINGI NALUTI ZAHANATI YA NRONGA NRONGA SACCOSS DARAJA LA MTO SEMIRA UNAOTENGANISHA KIJIJI CHA NRONGA NA KIJIJI CHA FOO, MACHAME. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com

KIJIJI CHA USWAA, MACHAME

KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA USWAA. KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA USWAA. MTAA WA NKIRA AVAANGA. SHULE YA SEKONDARI UROKI. SHULE YA SEKONDARI NEEMA. SHULE YA MSINGI USWAA. SHULE YA MSINGI UFUMBO. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com

UMRI WA MLIMA KILIMANJARO.

UMRI WA MLIMA KILIMANJARO. Kilimanjaro Ndio Nyumbani, Ndio Makazi Yetu na Ndio Hatma Yetu. Mlima Kilimanjaro Umekuwa Sehemu Muhimu Ya Maisha Yetu, Kutupa Wachagga Uhai na Maana Ya Maisha Yetu Ya Kiroho, Lakini Je, Tunafahamu Mlima Huu Umekuwepo Hapo Moshi Kwa Muda Gani Mpaka Sasa? Tafiti za Kijiolojia Zinaonyesha Kwamba Mlima Kilimanjaro Umetengenezwa Miaka 5,000,0000 …

KIJIJI CHA SAWE, MASAMA

KIJIJI CHA SAWE. 1. Sekondari Ya Masama Girls, 2. Sekondari Ya Sawe 3. Shule Ya Msingi Kyarasa 4. Chuo Cha Ufundi VETA Sawe 5. KKKT, Usharika wa Sawe 6. Shule Ya Msingi Sawe Samanga 7. Chama Cha Sawe 8. Zahanati Ya Sawe Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com