KIJIJI CHA NDUONI, KIRUA VUNJO.
– BWAWA LA HOROHORO.
– HILI NI MOJA KATI YA MABWAWA MATATU MAKUBWA YANAYOPATIKANA KIRUA VUNJO YANAYOTOKANA CHEMCHEM YA ASILI INAYOTOKA CHINI ARDHINI.
– HAYA NI MAJI SAFI KABISA YANAYOFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI NA SHUGHULI ZA KILIMO NA YAPO KWENYE MAKAZI YA WATU.
– SAMAKI PIA WANAPATIKANA KWA KIASI.
– MAJI YA BWAWA HILI YALISAIDIA SANA PIA KATIKA KUZIMA MOTO ULIOZUKA KWENYE MLIMA KILIMANJARO MWEZI ULIOPITA AMBAPO HELIKOPTA NDIO ILITUMIKA KUYASOMBA.
– MAZINGIRA NI MAZURI NA TULIVU SANA NA YENYE KUVUTIA SANA KWA KUPIGA PICHA AU KUTALII.
Urithi Wetu Wachagga
urithiwetuwachagga@gmail.com










Urithi Wetu Wachagga
urithiwetuwachagga@gmail.com
Hallo brother
Ntaendelea na kufanya marking and mapping ya hiking trails kwenye baadhi ya maeneo ya mkoa wa Kilimanjaro hasa Uchagani…. Machame/West Kilimanjaro mpaka Rombo
Tukishakuwa na established hiking trails tutaanza rasmi kufanya weekly hiking tours around the slopes of Mount Kilimanjaro green coffee and banana belt and outskirts of Moshi town
Thanks
Nicholas