MANGI MKUU THOMAS LENANA MAREALLE

Huyu Aliitwa MSHUMBUE(MPAKWA MAFUTA) AU MANGI THOMAS LENANA MAREALLE Alikuwa Mangi Mkuu Wa Wachagga Kuanzia Januari 1952 Baada Ya Kushinda Uchaguzi Uliohusisha Wagombea 4. Uongozi Wake Kama Mangi Mkuu Ulikuwa Wa Mafanikio Sana Kwani Uchaggani Kulikuwa Na Maboresho Mengi Katika Elimu, Afya, Miundombinu Ya Maji, Njia Za Mawasiliano, Katika Chama Cha Ushirika Na Ujenzi Wa …

MANENO YA MANGI PETRO ITOSI MAREALLE KWA WACHAGGA

“MAMBO MAKUU ZAIDI YANATARAJIWA KUTOKA KWENU“ Haya Yalikuwa Ni Maneno Ya “Mangi Petro Itosi Marealle”, Aliyekuwa Mangi Mwitori Wa Jimbo La Vunjo-Uchagga, Na Mmoja Kati Ya Wagombea Wa Nafasi Ya Umangi Mkuu Wa Wachagga, Aliyoyasema Mwaka 1946 Baada Ya Kuandika Kitabu Maarufu “Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera”. Mangi Petro Itosi Marealle Aliangalia Wazungu …

“MTURA” WA MOSHI

Ubunifu Wa Utengenezaji Nyama Unaokuja Kwa Kasi Sana Hapa Moshi Aisee, Hii Kitu Weka Mbali Na Watoto – Ukijaribu Utarudi Tena Na Tena Big Up Sana Kwa Watu Wa Moshi Dar Na Arusha Mtura Unapatikana Maeneo Gani? Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com

KILIMANJARO NATIVE COOPERATIVE UNION(KNCU)

Ndio Chama Cha Ushirika Kikongwe Zaidi Barani Africa Kikiwa Kimeanzishwa 1930. Watu Kutoka Maeneo Mbalimbali Afrika Walikuwa Wanakuja Moshi Kujifunza Namna Ya Kuendesha Vyama Vya Ushirika Kimafanikio. Hata Hivyo Baada Ya Tanganyika Kuwa Nchi Na KNCU Kuingiliwa Sana Na Wanasiasa Sambamba Na Mfumo Mbovu Wa Kisiasa KNCU Kilidhoofika Sana Wakati Vyama Vilivyokuja Kujifunza Ushirika Kupitia …