Chagga Building Technology Urithi Wetu Wachagga urithwetuwachagga@gmail.com Whatsapp +255754584270.
WIMBO WA KICHAGGA “NGAKUWEDA” – FLORA MASSAWE
FLORA MASSAWE – KIBOSHO, NGAKUWEDA(NAKUNGOJA) Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com Whatsapp +255754584270
WIMBO WA KICHAGGA CHAMECHA BY LYIMO
Urithi Wetu Wachagga urithwetuwachagga@gmail.com Whatsapp +255754584270
MAJINA YA KICHAGGA YA WANAWAKE
Majina Ya Asili na Maana Zake. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com Whatsapp +255754584270
AIKA RUWA, WIMBO MZURI WA WACHAGGA CHRISTMAS – LYIMO
Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com Whatsapp +255 754 584 270
WACHAGGA KWENDA MOSHI DESEMBA – CHRISTMAS
THE ANNUAL GREAT CHAGGA PILGRIM FESTIVAL THE HOMECOMING SIKU ZIMEKARIBIA “TUSISAHAU” Urithi Wetu Wachagga Email: urithiwetuwachagga@gmail.com Whatsapp +255 754 584 270.
“KWETU MOSHI”
Mlima Mrefu Kuliko Yote Duniani Ulioanzia Katika Usawa Wa Bahari (The Highest Freestanding Mountain In The World). Mlingoti Mkubwa Kuliko Yote Katika Bara Zima La Afrika. TUKO JUU!!! Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com. Whatsapp +255 754 584 270
MAGAZETI YA WACHAGGA – KILIMANJARO
Yalikuwepo Magazeti Mawili Ya Lililokuwa Taifa La Wachagga, “KOMKYA” Na “KUSARE”. “KOMKYA” ikimaanisha “Kumekucha” Na “KUSARE” ikimaanisha “Tafakari”. Ni Magazeti Yaliyokuwa Yanatangaza Vizuri Utamaduni Na Habari Za Wachagga Katika Kila Nyanja Ya Maisha Na Kuimarisha Sana Mshikamano Na Umoja Wa Taifa La Wachagga. KOMKYA Lilikuwa Maarufu Zaidi. Urithi Wetu Wachagga Whatsapp +255 754 584 270 …
UFANANO WA MAJINA YA MAENEO YA UCHAGGANI.
Watu Wengi Wamekuwa Wakishangaa Kwamba Kuna Maeneo Mengi Ya Uchaggani, Kilimanjaro Yanafaanana Majina na Kushindwa Kuelewa Mara Moja Sababu Yake Nini. Japo Kweli Sababu Yake Haiko Wazi Kabisa Lakini Inajulikana Kwamba Zamani Wachagga, Kilimanjaro Walikuwa Ni Watu wa Kuhama Sehemu Moja Ya Kilimanjaro Kwenda Sehemu Nyingine Kwa Sababu Mbalimbali.Lakini Kuna Nyakati Uchaggani Kabla Ya Karne …
WACHAGGA WAHAFIDHINA vs WACHAGGA MALIBERALI.
Linapokuja suala la kutunza tamaduni siku zote watu hugawanyika katika pande kuu mbili japo wachache hubaki katikati. Kuna wale wa mrengo wa kulia ambao ndio huitwa wahafidhina(conservatives) na wale wa mrengo wa kushoto ambao huitwa *maliberali(liberals)*(huru).Hata miongoni mwetu Wachagga wapo wahafidhina ambao ndio huitwa wa mrengo wa kulia na wapo maliberali ambao huitwa wa mrengo …