MAGAZETI YA WACHAGGA – KILIMANJARO

Yalikuwepo Magazeti Mawili Ya Lililokuwa Taifa La Wachagga, “KOMKYA” Na “KUSARE”. “KOMKYA” ikimaanisha “Kumekucha” Na “KUSARE” ikimaanisha “Tafakari”. Ni Magazeti Yaliyokuwa Yanatangaza Vizuri Utamaduni Na Habari Za Wachagga Katika Kila Nyanja Ya Maisha Na Kuimarisha Sana Mshikamano Na Umoja Wa Taifa La Wachagga. KOMKYA Lilikuwa Maarufu Zaidi.

Gazeti La Wachagga Komkya
Gazeti La Wachagga Komkya

Urithi Wetu Wachagga

Whatsapp +255 754 584 270

Email: urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *