UKOO WA MACHANGE.

– Machange ni ukoo wa wachagga ulioeneo maeneo ya katikati ya Uchagga, Kilimanjaro kwa kiasi na maeneo ya mashariki ya kati ya Uchagga kwa wingi kiasi. Ukoo wa Machange ni ukoo wenye watu wengi wanaofanya vizuri katika nyanja mbalimbali kimaisha kuanzia kuanzia biashara, ujasiriamali, taaluma na hata kwenye taasisi mbalimbali binafsi na za umma ndani na nje ya Kilimanjaro.

– Ukoo wa Machange umesambaa na unapatikana kwa wingi katika baadhi ya vijiji na kwa uchache katika vijiji vingine hususan katika ukanda wa mashariki ya kati ya Uchagga, Kilimanjaro.

– Hivyo ukoo wa Machange unapatikana kwa wingi katika kijiji cha Tella, Old Moshi.

– Ukoo wa Machange unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Komakundi, Mamba.

– Ukoo wa Machane unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kondeni, Mwika.

– Ukoo wa Machange unapatikana kwa uchache katika kijiji cha Msae Kinyamvuo, Mwika.

– Ukoo wa Machange unapatikana kwa wingi sana sana sana katika kijiji cha Maring’a, Mwika.

– Ukoo wa Machange unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kirimeni, Mwika.

– Ukoo wa Machange unapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kimangaro, Mwika.

Ukoo wa Machange ni kati ya koo zinazojulikana lakini ukiwa na mambo machache sana yanayojulikana kuhusu ukoo huu. Tunahitaji taarifa zaidi kuhusu ukoo wa Machange kwa ajili ya kuweka kumbukumbu kwa faida ya kizazi kinachokuja sambamba na kujenga hamasa na mshikamano kwa kizazi kilichopo.

Karibu kwa mchango zaidi wa Mawazo kuhusu ukoo wa Machange.

1. Je, unafahamu nini kuhusiana na ukoo wa Machange?

2. Unafikiri ni kijiji gani ambacho kimesahaulika kutajwa lakini kuna ukoo wa Machange?

3. Kijijini kwenu kuna ukoo wa Machange?

4. Kama wewe ni wa ukoo wa Machange una nini cha kutuambia kuhusu ukoo wenu?

5. Huwa mna maadhimisho yoyote au sherehe za ukoo mwezi gani?

6. Wewe ni Machange wa kutokea kijiji gani?

7. Bado kuna ushirikiano wowote katika matukio mbalimbali muhimu na ndugu zenu wengine wa matawi ya ukoo wa Machange kutoka maeneo mengine ya Uchaggani?

8. Ni tabia gani unazozifahamu za wachagga wa ukoo wa Machange?

9. Wanawake wa ukoo wa Machange huitwaje, na kwa nini?

10. Una rafiki yako yeyote wa kutokea kwenye ukoo wa Machange?

11. Ni watu gani mashuhuri unaowafahamu kutoka kwenye ukoo wa Machange?

12. Kuna mnyama yeyote ambaye labda ni mwiko kuliwa na wachagga wa ukoo wa Machange?

13. Kuna ukoo ambao hawaruhusiwi kuoana na Wako-Machange kwa sababu zilizowahi kuwepo miaka ya zamani au nyingine zozote?

Karibu kwa Mchango zaidi au maswali.

Ahsanteni.

Kesho tutaendelea na ukoo mwingine.

www.wachagga.com

Urithi Wetu Wachagga (Facebook).

Whatsapp +255 754 584 270.

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *