KIJIJI CHA KIWALAA, KATA YA MBOKOMU, OLD MOSHI.

KIJIJI CHA KIWALAA, KATA YA MBOKOMU, OLD MOSHI.

– KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI

USHARIKA WA KIWALAA.

– JIMBO KATOLIKI MOSHI

PAROKIA YA MBOKOMU.

– KANISA KATOLIKI, KIGANGO CHA KIRANGA, MACHADI.

– ZAHANATI YA JAMES NEVILLE

– ZAHANATI YA MBOKOMU

– KITUO CHA WALIMU MBOKOMU.

– SHULE YA MSINGI JAMES NEVILLE.

– SHULE YA MSINGI MBOKOMU.

– SHULE YA MSINGI KIWALAA.

– ST. JOSEPH DAY CARE, KIWALAA.

PAROKIA YA MBOKOMU
SHULE YA MSINGI MBOKOMU NA NEVILLE
KIJIJI CHA KIWALAA, KATA YA MBOKOMU, OLD MOSHI
KKKT, USHARIKA WA KIWALAA
KANISA KATOLIKI KIGANGO CHA KIRANGA, MACHADI, MBOKOMU
KIJIJI CHA KIWALAA, KATA YA MBOKOMU, OLD MOSHI
SHULE YA MSINGI KIWALAA
SHULE YA MSINGI KIWALAA
KKKT, USHARIKA WA KIWALAA
SHULE YA MSINGI KIWALAA
KKKT, USHARIKA WA KIWALAA
KIJIJI CHA KIWALAA, KATA YA MBOKOMU, OLD MOSHI
ZAHANATI YA MBOKOMU
KANISA KATOLIKI KIGANGO CHA KIRANGA, MACHADI, MBOKOMU
KANISA KATOLIKI KIGANGO CHA KIRANGA, MACHADI, MBOKOMU
KANISA KATOLIKI KIGANGO CHA KIRANGA, MACHADI, MBOKOMU
KANISA KATOLIKI KIGANGO CHA KIRANGA, MACHADI, MBOKOMU

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

5 Comments

  1. HISTORY YA MANGI NGATUN MOSHI WA MASANGA, MBOKOMU?

    Naomba msaada wa Historia ya Mangi Ngatun Moshi wa Mbokomu, nadhani wa 1900 hadi 1960s /Alikuwa na Baraza(Mengeny) lake pale ilipo Clinic ya Sahony/ Nyumbani kwake hadi kifo chake niliskia ni mtaa wa Masanga, na Ikulu yake ya Ghorofa 2 za matofali ya udongo bado ipo hapo Masanga, kwenye kihamba cha Mjukuu wake William cho oko Makyinyahia(William Roman Ngatun Moshi-na majirani zake ni Shamba la Mlang’a(N), Fungomara(E), Wilson Kisanga(S) na Mai Elisungusia or Kipolo Moshi(W).
    Wake wa Ngatun walikuwa:
    (1)maii Kichuui(mama wa Rogate, Msendo, Salia, Roman, Ndetewio wengine) na
    (2) Maii Matemu (mama wa Mashauri, Vickyii, Maipa, na wengine).

    Hakuna Literature yyt kuhusu utawala wa huyu kiongozi, wala wasaidizi wake, wakati ni mtawala wa eneo la karibu sana na Moshi Town, kwake ndipo ilipo Ikulu ndogo ya KDC, utawala wake ni wa karibu sana na juhudi za uhuru wa Tz na kuna kizazi kikubwa tu cha maPrince &Princess walio hai ambao ni uzao wa huyu chief., kwm Prince Ringia/Prince Elium/Prince Mashauri (Heir to the Throne for now), Alen, Oseya, William, Bob, Hamson,

    Kwa nini wanaHistoria hawaitendei haki hii familia?

    1. Historia ya Mangi Ngatunyi tumeelezea kwenye kitabu cha Miaka 700 Ya Wachagga kitatoka hivi karibuni.

      1. Moshi Jordan says:

        Salaam Kiongozi!!
        Shukran & Ubarikiwe sana kw juhudi zako za kuielimisha jamii na utumiavyo taaluma na kipaji chako kwa maendeleo ya Taifa.

        Naulizia tu kama kile Kitabu(ulichotaja hapo juu) chenye historia ya Mangi Ngatunyi kimeshatoka.

        Natanguliza Shukran,
        Moshi Jordan

    2. Inaonekana unaifahamu sana hiyo familia sina shaka nawe ni mwanafamilia hiyo kaka.

      1. Yeah!

        Ni familia ya Mangi na kuifahamu history yao, mangi mwenyewe, utawala wk nk ni jukumu la kila mchagga.

        Binafsi History ni hobby yangu, kuanzia ya Mfalme Sauli, hadi Shaka Zulu.

        Ni mawazo yangu kuwa Mangi wetu mzee Ngatuny hajatendewa haki na wanahistoria wa kichagga.

        Eika mbee

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *