MJI WA KAMWANGA MPAKANI WA ROMBO NA LONGIDO

MJI WA KAMWANGA.

– HUU NI MJI ULIOPO UPANDE WA NYUMA WA MLIMA KILIMANJARO.

– UPANDE WA KASKAZINI YA KILIMANJARO.

– UPO BAADA YA MSITU WA KILIMANJARO UNAPOISHIA.

– MJI HUU UPO MPAKANI KATI YA WILAYA YA ROMBO MKOA WA KILIMANJARO NA WILAYA YA LONGIDO MKOA WA ARUSHA.

– WAKAZI WA ASILI WA MJI HUU NI WAMASAI AMBAO WAPO KWA WINGI, LAKINI PIA KUNA WASAFWA NA WACHAGGA WANAFANYA BIASHARA.

– UPANDE WA KASKAZINI ZAIDI NI KENYA.

– UKIENDELEA MBELE ZAIDI UNAZUNGUKIA SANYA JUU.

– MSITU WA KILIMANJARO UNAPOISHIA NDIO MPAKA KATI WILAYA YA ROMBO NA WILAYA YA LONGIDO.

MJI WA KAMWANGA ULIOPO MPAKANI KATI YA WILAYA YA ROMBO KILIMANJARO NA LONGIDO, ARUSHA

UPANDE WA KASKAZINI WA MLIMA KILIMANJARO
MJI WA KAMWANGA ULIOPO MPAKANI KATI YA WILAYA YA ROMBO KILIMANJARO NA LONGIDO, ARUSHA
MJI WA KAMWANGA ULIOPO NYUMA YA MLIMA KILIMANJARO MPAKANI NA LONGIDO

KIBAO CHA SHULE YA MSINGI KAMWANGA

MJI WA KAMWANGA ULIOPO NYUMA YA MLIMA KILIMANJARO MPAKANI NA LONGIDO KARIBU NA KENYA
MJI WA KAMWANGA ULIOPO NYUMA YA MLIMA KILIMANJARO MPAKANI NA LONGIDO NA KENYA

MSITU WA RONGAI KARIBU NA KAMWANGA
MSITU HUU NA HII BARABARA NDIO MPAKA KATI YA WILAYA YA ROMBO, KILIMANJARO NA LONGIDO, ARUSHA
HUU MSITU NA HII BARABARA NDIO MPAKA KATI WILAYA YA ROMBO, KILIMANJARO NA LONGIDO, ARUSHA
MSITU WA RONGAI KARIBU NA KAMWANGA
MSITU WA RONGAI, ROMBO
MSITU WA RONGAI, ROMBO KARIBU NA KAMWANGA, LONGIDO

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *