Katika desturi na kitamaduni nyumbani kwa mchagga ni katika nyumba yake ambayo ipo katikati ya shamba lake la urithi(kihamba). Mchagga bila nyumbani katika kihamba chake ni sawa na samaki nje ya maji. Hili lilikuwa dhahiri zaidi hasa katika miaka ya zamani. Mchagga pia alikuwa na ardhi kwa ajili ya kilimo cha maharage, viazi katika mashamba …
Month: April 2022
HAKI ZA MWANAMKE KISHERIA KATIKA NCHI YA WACHAGGA.
Katika nchi ya wachagga hadhi ya mwanamke kisheria na haki zake zilikuwa bayana na zaidi zinaonekana wakati wa ndoa. Hata hivyo mbele ya sheria za wachagga mwanamke alipewa hadhi kubwa zaidi kisheria ukilinganisha na jamii nyingi za kiafrika. Kwa mfano katika ardhi ya wachagga miaka ya zamani sana wakati wa vita kisheria mwanamke hakuruhusiwa kushambuliwa, …