KIJIJI CHA WAZALENDO. KIJIJI CHA KOMAKUNDI, MAMBA – Katika Ziara Yote Tuliyofanya Kilimanjaro Hakuna Kijiji Ambacho Tumekuta Watu ni Wazalendo na Wanaojivunia Kijiji Chao Kama Watu wa Kijiji cha Komakundi, Mamba. Baadhi Ya Vijiji vya Rombo Pia Watu Wanajivunia Vijiji Vyao Lakini Sio Kama Komakundi. – Kwanza Ndicho Kijiji Pekee Kilimanjaro Nzima Ambacho Kabla Hujaingia …
Author: Wachagga
ENEO MAARUFU NA MASHUHURI LA ASILI YA WAFINYANZI LINALOKUMBWA NA CHANGAMOTO YA ULEVI.
ENEO MAARUFU NA MASHUHURI LA ASILI YA WAFINYANZI LINALOKUMBWA NA CHANGAMOTO YA ULEVI. – KIJIJI/KATA YA NARUMU, MACHAME. – Kijiji/Kata Ya Narumu Ni Eneo Lililopo Katika Tarafa Ya Machame, Katika Wilaya Ya Hai, Magharibi Ya Kilimanjaro. Narumu Kwa Upande wa Magharibi Imepakana na Kijiji cha Nshara, Machame Ikitenganishwa na Mto Weruweru na Upande wa Magharibi …
VIJIJI VITATU VINAVYOFUFUA MATUMAINI YA WACHAGGA, KILIMANJARO.
VIJIJI VITATU VINAVYOFUFUA MATUMAINI YA WACHAGGA, KILIMANJARO. 1. KIJIJI CHA Nkweshoo, MACHAME . 2. KIJIJI CHA Mweka, KIBOSHO. 3. KIJIJI CHA Mwika, MWIKA. Katika ziara tuliyofanya hivi karibuni, hivi ndio vijiji ambavyo vimetushangaza na kutufurahisha kwani tumekutana na vitu muhimu ambavyo hatukutegemea kuvikuta ambavyo ni uwepo wa MAKTABA YA KIJAMII (COMMUNITY LIBRARY) kijijini. Kipekee tupongeze …
MAENEO 17 UNAYOHITAJI KUYATEMBELEA UCHAGGANI, KILIMANJARO.
*MAENEO 17 UNAYOHITAJI KUYATEMBELEA UCHAGGANI, KILIMANJARO.* *1. KANISA KATOLIKI KIBOSHO NA TAASISI ZAKE – KIJIJI CHA SINGA.* – Hii Ni Parokia Ya Pili Ya Katoliki Kilimanjaro Baada Ya Ile Ya Kilema. – Ukifika Eneo Hili Ndio Utaelewa Kwa Nini Limekuwa Likizungumzwa Sana na Utafurahia Kulitembelea. – Ni Eneo Lenye Mazingira Mazuri Sana Kutembelea na Ni …
TUMEMALIZA!
TUMEMALIZA! Tumehitimisha Ziara Iliyoanza Septemba 2020 Mpaka Aprili 2021 Ya Kufikia Kila Kijiji Cha Uchagga, Kilimanjaro. Tunashukuru Kwamba Kwa Ziara Hii Tumeweza Kufika Vijiji Vyote na Kuwaletea 98% Ya Vijiji Vyote Vya Kilimanjaro, Pamoja na Vitu Muhimu Vilivyopo(Landmarks), Japo Kwa Sababu Ya Ugeni Mwanzoni Kuna Baadhi Ya Vijiji Vichache Tulipata Changamoto Ya Kuchukua Picha Hivyo …
KIJIJI CHA MESE, SIHA/SANYA JUU.
KIJIJI CHA MESE, SIHA/SANYA JUU. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA MESE. – OFISI YA USHARIKA MESE. – KANISA LA PENTEKOSTE MESE. – SHULE YA MSINGI MESE. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
MJI WA SANYA JUU, SIHA.
MJI WA SANYA JUU, SIHA. – OFISI YA MKUU WA WILAYA YA SIHA. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA SANYA JUU. – JIMBO KATOLIKI MOSHI. PAROKIA YA SANYA JUU. – OFISI YA MKURUGENZI. HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA. – HOSPITALI YA WILAYA YA SIHA. – OFISI ZA TRA, WILAYA YA SIHA. – OFISI ZA …
KIJIJI CHA NGIRINY, SIHA/SANYA JUU.
KIJIJI CHA NGIRINY, SIHA/SANYA JUU. – SHULE YA MSINGI MONIKO. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA KASHASHI, SIHA/SANYA JUU.
KIJIJI CHA KASHASHI, SIHA/SANYA JUU. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA KASHASHI. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA KASHASHI. MTAA WA NGABOBO. – ZAHANATI YA KASHASHI. – SHULE YA MSINGI LOKIRI. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA NGARONY, SIHA/SANYA JUU.
KIJIJI CHA NGARONY, SIHA/SANYA JUU. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA NGARONY. – SHULE YA MSINGI NGARONY. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com