FAHAMU MTAZAMO WA WATU WA NJE YA KUNDI.

Katika maisha, moja kati ya vitu ambavyo vinafanya tuwakubali na kuwaamini watu ni kuamini kwamba wanapeda na kukubaliana na mambo yetu. Mara nyingi tunapomkubali sana mtu na kumfuata mtu huwa tunajiaminisha pia kwamba mtu huyo anapenda mambo yetu na kuamini kwamba anayaunga mkono. Kwa maana hiyo huwa hatusiti hata kutaka kupata maoni yake juu ya …

UKOO WA MBORO NA UTATA JUU YAKE.

Ukoo wa Mboro ni kati ya koo kubwa, kongwe na mashuhuri sana katika historia ya wachagga Kilimanjaro. Ukoo wa Mboro ulikuwa ni ukoo mashuhuri tangu miaka ya 1600. Ukoo wa Mboro ulikuwa ndio ukoo mashuhuri na wenye nguvu zaidi Marangu mpaka kufikia karne ya 17 baadaye wakahamishia ngome yao katika kijiji cha Sembeti kutokea Lyamrakana. …

MANGI MELI MANDARA KAMA ALEXANDER THE GREAT.

Kwenye Kitabu cha “A History of Western Philosophy” Kilichoandikwa na Mwanafalsafa Mashuhuri Muingereza wa Karne Ya 20 Bertrand Rusell, Anaeleza Kwamba Maendeleo Ya Zamani Ya Ugiriki/Uyunani Ya Kale(Ancient Greece) Yalitokana na Ushawishi wa Himaya ya Misri Ya Kale (Ancient Egypt). Lakini Pia Inafahamika Kwamba Maendeleo Ya Uyunani/Ugiriki Ya Kale(Ancient Greece Civilisation) Ndio Chanzo na Msingi …