– Wakati Mwingine Kutojua Historia na Kutojihangaisha Kufuatilia Mambo Yanayowahusu Huwa Ni Chanzo cha Jamii Kujisahau Sana. Hivi Tunajua Kwamba Ni Njia Ya Marangu Pekee Katika Kupanda Mlima Kilimanjaro Ambayo Ina Hotels(Huts) za Kufikia? Njia Nyingine Kupanda Mlima Kilimanjaro Unapaswa Kupanda na Mahema Ya Kubeba. Lakini Ajabu Zaidi Ni Kwamba Hizo Huts Zenyewe Zilizopo Njia …
Category: Makala
UMUHIMU WA KUFAHAMU HISTORIA.
B. H. Liddell Hart, Aliyekuwa Mwanajeshi Katika Jeshi La Uingereza Aliyeshiriki Katika Vita Ya Kwanza Ya Dunia 1914 – 1918 na Vita Ya Pili Ya Dunia 1939 – 1945 Ameandika Kitabu Kilichopata Umaarufu Kama (Why Don’t We Learn From History?), Akimaanisha, (Kwa Nini Hatujifunzi Kutoka Kwenye Historia?) Liddell Hart Anasema Tofauti na Wengi Wanavyochukulia Kufahamu …
KUTOKEA KILELE CHA MLIMA NGANGU – KILEMA
KUTOKEA HAPA KILELENI KILIMA CHA,NGANGU – KILEMA. UNAWEZA KUTAZAMA ENEO KUBWA LA MASHARIKI YA KATI YA UCHAGGA. Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA MLOE, KIBOSHO.
– JIMBO KATOLIKI MOSHI. PAROKIA YA MANGO. – MSIKITI WA MANGO. – SHULE YA MSINGI MANGO. Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA KITANDU, KIBOSHO.
– SHULE YA MSINGI MATUNYA. – SOKO LA MALANJA, KITANDU. Urithi Wetu Wachagga. urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA UCHAU KUSINI, KIBOSHO.
– ENEO LA KIHISTORIA MKOLA. – ENEO LA KIHISTORIA NCHONA. – SOKO LA KIHISTORIA NCHONA.
KIJIJI CHA KIMBUSHI, MACHAME.
– KKKT, DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA KIMBUSHI. – JIMBO KATOLIKI MOSHI. PAROKIA YA NTIRINI. – SHULE YA SEKONDARI NKUU. – SHULE YA MSINGI KIMBUSHI. – KIMBUSHI MONTESSORI. – THE HOSPICE MEDICAL CLINIC. Ukoo Mkubwa Zaidi Kimbushi. Ni SHOO Ukifuatiwa na LEMA, MBORO/MBONIKA, SWAI na MAKIRA. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA MESE, SIHA/SANYA JUU.
KIJIJI CHA MESE, SIHA/SANYA JUU. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA MESE. – OFISI YA USHARIKA MESE. – KANISA LA PENTEKOSTE MESE. – SHULE YA MSINGI MESE. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA LAWATE, SIHA/SANYA JUU.
KIJIJI CHA LAWATE, SIHA/SANYA JUU. – KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI. USHARIKA WA LAWATE. – SHULE YA MSINGI LAWATE. – SOKO LA LAWATE. – DARAJA LA MTO LAWATE. – SHULE YA MSINGI NKYEKU. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com
KIJIJI CHA KIRUA, KIRWAKENI, MASHATI, ROMBO.
KIJIJI CHA KIRUA, KIRWAKENI, MASHATI, ROMBO. – KITUO CHA AFYA KIRWA MASHATI. – PAROKIA YA MASHATI KIGANGO CHA KIRWAKENI. – SHULE YA MSINGI KIRUA ROMBO. – SHULE YA MSINGI AMRUSHU. – SHULE YA MSINGI RIMA. – OFISI YA KIJIJI CHA KIRWA. – DARAJA LA MTO UASHI. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com