KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.

KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.

– MJI MKONGWE WA MOSHI ILIYOKUWA MOSHI HALISI KABLA YA KUHAMIA MOSHI MJINI MWAKA 1912, KISHA HUKU MLIMANI KUBADILISHWA JINA NA KUITWA OLD MOSHI.

– BOMA KUU NA MAKAO YA UTAWALA YA SERIKALI YA WAJERUMANI KASKAZINI YOTE YA TANZANIA TANGU MWISHONI MWA KARNE YA 19 MPAKA MWAKA 1918 WALIPOSHINDWA VITA YA KWANZA YA DUNIA.

– ILIYOKUWA SHULE KONGWE YA SEKONDARI OLD MOSHI KABLA YA KUHAMISHIWA MOSHI MJINI 1960’s, KISHA HUKU JUU KUITWA SEKONDARI YA KOLILA.

– ILIYOKUWA MAHAKAMA YA MOSHI KABLA YA KUHAMIA MOSHI MJINI.

– SANAMU YA KUMBUKUMBU YA MANGI MELI MANDARA.

– MTI WALIONYONGEWA WAMANGI WA KILIMANJARO MWAKA 1900 KWA TUHUMA ZA KUSUKA NJAMA ZA KUIONDOSHA SERIKALI YA WAJERUMANI KASKAZINI WAKIONGOZWA NA MANGI MELI MANDARA.

– OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI.

– MAKUMBUSHO YA KUMBUKUMBU YA MANGI MELI MANDARA, OLD MOSHI.

-KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI

USHARIKA WA KISAMO, OLD MOSHI.

OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI.
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI, SANAMU YA MANGI MELI MANDARA.
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
NYUMBA YA MAKUMBUSHO YA MANGI MELI MANDARA
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
JENGO LA POSTA OLD MOSHI
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI.
MAHAKAMA YA MWANZO, OLD MOSHI
MAHAKAMA YA MWANZO, OLD MOSHI
MAHAKAMA YA MWANZO, OLD MOSHI
MAHAKAMA YA MWANZO, OLD MOSHI
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI
USHARIKA WA KISAMO, OLD MOSHI
KIJIJI CHA TSUDUNYI, OLD MOSHI
KKKT, USHARIKA WA KISAMO, OLD MOSHI
KKKT USHARIKA WA KISAMO, OLD MOSHI

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

1 Comment

 1. Everlyn Nicodemus says:

  Need No Comments.

  I am a Chagga Woman .

  Get it!

  Born MARANGU,

  Get it !

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *