MTAA WA MANGI MAMKINGA – MOSHI MJINI

MAMKINGA STREET, MOSHI MJINI Kwa Heshima Ya MANGI MAMKINGA RENGUA MUSHI. Mangi Mamkinga Mushi Alikuwa Mangi wa Machame Miaka 200 Iliyopita Tangu Mwaka 1820 – 1858. Alikuwa Ni Mangi Mwenye Nguvu Sana Kilimanjaro Akizitiisha Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi, Kirua, Kilema, Marangu, Mamba mpaka Mwika. Yaani Kumbukumbu Zinaonyesha Katika Kipindi Chake Aliitiisha Kilimanjaro yote isipokuwa …

BUSTANI HALISI YA EDENI – KILIMANJARO

BUSTANI HALISI YA EDENI – KILIMANJARO. Kilimanjaro Imekuwa Ni Sehemu Inayovutia Sana Duniani, Pengine Inaongoza Au Ni Moja Ya Maeneo Ya Asili Yenye Kuvutia Sana Duniani. Mwishoni Mwa Karne Ya 19 Wakati Serikali Ya Ujerumani Ilipoamua Kuja Kuitawala Kilimanjaro Na Kutuma Vijana Wa Kijerumani Kuja Kujitolea Katika Jeshi na Katika Serikali Mpya Ya Kikoloni Vijana …

SIKUKUU YA WACHAGGA DUNIANI (WACHAGGA DAY FESTIVAL)

SIKUKUU YA WACHAGGA DUNIANI (WACHAGGA DAY FESTIVAL) – Kila Tarehe 10/Novemba Ya Kila Mwaka Ilikuwa Ni Sikukuu Kubwa Sana Ya Maadhimisho Ya Siku Ya Wachagga Duniani Yaliyoendelea Kufanyika Mpaka Miaka Ya 1960’s. – Siku Hii Ilikuwa Inasherehekewa Kama Siku Ambayo Mangi Mkuu wa Kwanza wa Wachagga Aliapishwa Rasmi Mwaka 1952 na Hivyo Ikatangazwa Kuwa Sikukuu …