MTAA WA MANGI MAMKINGA – MOSHI MJINI

MAMKINGA STREET, MOSHI MJINI

Kwa Heshima Ya MANGI MAMKINGA RENGUA MUSHI.

Mangi Mamkinga Mushi Alikuwa Mangi wa Machame Miaka 200 Iliyopita Tangu Mwaka 1820 – 1858.

Alikuwa Ni Mangi Mwenye Nguvu Sana Kilimanjaro Akizitiisha Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi, Kirua, Kilema, Marangu, Mamba mpaka Mwika.

Yaani Kumbukumbu Zinaonyesha Katika Kipindi Chake Aliitiisha Kilimanjaro yote isipokuwa Rombo.

Mangi Mamkinga Ni Baba Yake Mangi Ndesserua na Ni Babu Yao Mangi Ngamini, Mangi Shangali na Mangi Ngulelo.

You may also like...

Popular Posts

1 Comment

  1. Kiwaria Ntemi says:

    Uchagani wamefanya jambo la maana sana kuhifadhi historia yao katika maeneo mbalimbali. Kuna barabara kuu Moshi mjini zimepewa majina hayo ya kumbukumbu za kihistoria, mfano Rindi Lane, Horombo Road, Rengua Road, Mamkinga Street, n.k. Historia ni hazina kubwa ya jamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *