MTI MREFU KULIKO YOTE AFRICA

Mti Mrefu Kuliko Yote Afrika Ndani Ya Msitu Wa Kilimanjaro. -Mti Huu Kwa Jina La Kitaalamu Unaitwa “ENTANDROPHRAGMA EXCELSUM”, Una Urefu wa Mita 81.5m -Kwa Kiswahili Unaitwa MKUKUSU, Unapatikana Katika Kijiji Cha Tema, Mbokomu, Old Moshi. -Unakadiriwa Kuwa Na Umri Wa Zaidi Ya Miaka 600, Na Unaweza Kuishi Miaka 300 Zaidi. -Kijiji Cha Tema Na …

BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI

Huyu Aliitwa BABA ASKOFU DR. STEFANO REUBEN MOSHI Ndiye Askofu Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania (1963 -1976). Ndiye Mwanzilishi wa Hospitali Ya Rufaa KCMC Aliyekuwa na Maono Makubwa Juu Ya KCMC. Chuo Kikuu Cha Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO) Kilichopo Moshi Kimeitwa Kwa Kumbukumbu Ya Jina Lake. Shule Ya Sekondari “Bishop Moshi” Iliyopo …

NCHI NZURI YA KILIMANJARO

Tuna Nchi Nzuri Sana Na Iliyobarikiwa Kweli, Miundombinu Nayo Inazidi Kuboreshwa. Tuna Mipango Gani Kuhusu Kuwekeza Nyumbani? Tujenge Taasisi Za Kitaaluma Kila Eneo Ili Kuwa Na Msingi Wa Jamii Bora Na Yenye Kujitambua Sana. Urithi Wetu Wachagga urithiwetuwachagga@gmail.com

MANGI MKUU THOMAS LENANA MAREALLE

Huyu Aliitwa MSHUMBUE(MPAKWA MAFUTA) AU MANGI THOMAS LENANA MAREALLE Alikuwa Mangi Mkuu Wa Wachagga Kuanzia Januari 1952 Baada Ya Kushinda Uchaguzi Uliohusisha Wagombea 4. Uongozi Wake Kama Mangi Mkuu Ulikuwa Wa Mafanikio Sana Kwani Uchaggani Kulikuwa Na Maboresho Mengi Katika Elimu, Afya, Miundombinu Ya Maji, Njia Za Mawasiliano, Katika Chama Cha Ushirika Na Ujenzi Wa …

MANENO YA MANGI PETRO ITOSI MAREALLE KWA WACHAGGA

“MAMBO MAKUU ZAIDI YANATARAJIWA KUTOKA KWENU“ Haya Yalikuwa Ni Maneno Ya “Mangi Petro Itosi Marealle”, Aliyekuwa Mangi Mwitori Wa Jimbo La Vunjo-Uchagga, Na Mmoja Kati Ya Wagombea Wa Nafasi Ya Umangi Mkuu Wa Wachagga, Aliyoyasema Mwaka 1946 Baada Ya Kuandika Kitabu Maarufu “Maisha Ya Mchagga Hapa Duniani Na Ahera”. Mangi Petro Itosi Marealle Aliangalia Wazungu …