MTI MREFU KULIKO YOTE AFRICA

Mti Mrefu Kuliko Yote Afrika Ndani Ya Msitu Wa Kilimanjaro.

-Mti Huu Kwa Jina La Kitaalamu Unaitwa “ENTANDROPHRAGMA EXCELSUM”, Una Urefu wa Mita 81.5m

-Kwa Kiswahili Unaitwa MKUKUSU, Unapatikana Katika Kijiji Cha Tema, Mbokomu, Old Moshi.

-Unakadiriwa Kuwa Na Umri Wa Zaidi Ya Miaka 600, Na Unaweza Kuishi Miaka 300 Zaidi.

-Kijiji Cha Tema Na Maeneo Ya Juu Ya Mbokomu Kwa Ujumla Ni Maeneo Yenye Chemchemi Nyingi Za Maji, Misitu Mikubwa, Mabonde Makubwa Na Manyunyu Ya Mvua Muda Wote Kwa Mwaka Mzima.

-Ni Maeneo Yanayovutia Sana Kutalii.

MTI MREFU ZAIDI AFRICA UKO MBOKOMU, MOSHI
MTI MREFU ZAIDI AFRICA, MBOKOMU MOSHI

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *