NEMBO NA BENDERA YA TAIFA LA WACHAGGA – KILIMANJARO

NEMBO YA LILILOKUWA TAIFA LA WACHAGGA – KILIMANJARO

(Tunaomba Tafsiri Zaidi Kwa Wanaojua)

1. Mti Wa Isale Kuzunguka Nembo (Jani Takatifu)

2. Chui Juu Ya Mlima Kilimanjaro (Alama Ya Mamlaka)

3. Mlima Kilimanjaro (Uhai, Ulinzi Na Nyumba Ya Ruwa)

4. Mti Wa Mgomba (Chakula Kikuu Cha Asili)

5. Mti Wa Mkahawa (Zao La Biashara Lililoleta Mapinduzi)

LUKUWAWIE NA RUWA.

NEMBO YA TAIFA LA WACHAGGA

Urithi Wetu Wachagga

urithiwetuwachagga@gmail.com

You may also like...

Popular Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *